Hivi jina la ''vidudu'' kwa shule za chekechea na awali lilianzia wapi?

trachomatis

JF-Expert Member
Jun 7, 2011
3,758
736
Enzi zetu ziliitwa vidudu, siku hizi awali mara chekechea. Hivi nini asili ya jina la vidudu?
 
nahisi ule uji wa Buruga ulikuwa na Vidudu. watoto tulikuwa tukiona vipunje punje tunaita vidudu.
Umenikumbusha mbali sana
 
Katika umri wake zama hizo lazima uwe hodari wa kudaka/kubaka panzi na balangulu na tetete.
Mkitoka tu darasani mida ya saa 5 au sita hivi, jua kali basi tetete ndiyo wanapatikana kirahisi. Wewe ni kuandaa chupa. ukimbaka tu unamweka kwenye chupa chap chap. Halafu njiani unawatambishia wenzako ulivyowabaka panzi wengi.

Umenikumbusha mbali wewe..!!
 
Back
Top Bottom