Hivi jeshi ni kina nani, wako juu ya sheria?

Kamanda

Senior Member
Dec 5, 2007
150
176
Inawezekana vipi ziwepo taasisi zingine zinaonekana au zinajiona kuwa bora na haki zaidi ya zingine?
Iweje JWTZ watumie maji na washindwe kulipa wakati hata kwenye bajeti zao malipo hayo yanajuuishwa?
Natambua kuwepo kwa mafisadi wengi sana jeshini kuliko hata serikali kuu na mitaa.
Jamai wanajeshi acheni ubabe lipeni ankara za maji kwani fedha zipo na inaelekea mnazinywea bia tu na kuwatongozea dada na mama zetu.
Hebu waelezeni jamani walipe na wala hakuna anayetaka kuwadhalilisha kama anavyodai bosi wao Shimbo.
Dawa ya deni ni kulipa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom