Hivi jeshi la polisi wana CYBER CRIME department?

narudia tena, Cybercrimes are defined as: "Offences that are committed against individuals or groups of individuals with a criminal motive to intentionally harm the reputation of the victim or cause physical or mental harm to the victim directly or indirectly, using modern telecommunication networks such as Internet (Chat rooms, emails, notice boards and groups) and mobile phones (SMS/MMS)".
ila hapo juu kama u have read, wanacover crimes against telecommunication facilities and not the fraudulent use of these said facilities to commit crime which is what cybercrime is.
niseme kwa kiswahili just incase hujanielewa. sheria ya EPOCA inakuwepo kulinda wizi wa minara ya mawasiliano na cybercrime ni kutumia minara ya mawasiliano kutishia na kuumiza watu. ukitumia proxy kuiba net ya bure, utashtakiwa chini ya 122, ukitengeneza vocha fake utashtakiwa chini ya 122, na ukifungia mitandao kufika maeneo fulani (say ur place) utashtakiwa chini ya 123. ukichukua kompyuta yangu na kuihack password, unakosa hapo 124. lakini hizi offense zote sio na hazitakuwa cybercrime. kumtishia mtu kwa jinsi ya PM hapa JF ni aina ya cybercrime, ila kama unavyocheki hapo juu hamna sheria ya kukufunga ergo, hamna cybercrime laws. kutengeneza virusi kwa nia ya kuingilia na kuharibu data za watu ni cybercrime.. unaiona hapo juu??

ahsante sana sasa unaanza kuelekea kuelewa maana ya kutokuwepo kabisa sheria ya cyber crimes na kuwepo kwa sheria ya inayocover baadhi ya cyber crime ingawa inamapungufu mengi, naomba kukuliiza je unauthorise access to ur computer ni cyber crime or not? pia je nikiweka certain content about you LEH kwa lengo la abuse, threat kwa kutumia internet serivice ni cyber crime?nimeamua kwenda kwa maswali ili nikuoenesha kivipi EPOCA inacover certain offence na pia ina mapunguf.


Tatizo lako umejiwekea conservative mind kwa kujua vitu fulani tu ndiyo cyber crime, that is misdirecting your mind, ukinijibu hayo maswali nitakuonesha wapi EPOCA inacover au na wapi inamapungufu?pia sheria ya cyber crime si lazima iitwe Cyber crimes Act ndugu, for expanding your mnd just explore other the Acts of other countries in relation to Cyber crime
 
Jamani embu nisidieni ili iwe jinai si lazima hito act iwe imedifine?Kwenye EPOCA kuna difinition ya cybercrime like hacking,,phising etc?
 
Embu tujuzane wana Jf hawa jamaa wa polisi wana wataalam wa cyber crime ?
Mbona unauliza vitu vya mbali sana .Hata forensic lab hawana. Unadhali jeshi la polisi likifika kwenye crime scene wanajua kukusanya evidence .Forget about cyder crime
 
hackers wa mpesa, tigo pesa, easy money and airtel money oyeeeeeeeeee :loco:
 
Back
Top Bottom