Hivi JamiiForums tunge-expose real ID zetu tungeondoka wangapi?

mnajidanga nyote nyie

kuna mrundi mmoja,alikwenda ktk internet cafe na kutuma ujumbe kwa rafiki yake akimwelezea juu ya tishio la mlipuko utakaotokea huko shanghai,baada tu ya kuondoka na kuelekea chumbani,usiku ule alifuatwa hadi chumbani na sasa hajulikani alipo.

utumie jina halisi,ama usitumie jina halisi ni vyema ukawa makini na kile ukitumacho,kwani IP unayoitumia ndiyo itakayokumaliza.
Hii ilitokea wapi? Taarifa yako Ina utata kidogo:
a) mrundi alitumia Internet Cafe - Ina maana IP address itakuwa ni ya Internet Cafe..sio!
b) baada ya kuondoka alielekea chumbani - Ina maana kwenye hiyo Internet Cafe kuna vyumba?

IP inaweza kukumaliza endapo unatumia Public IP Address. Kuna kitu kinaitwa "Proxy Server" hiyo unaweza kutumia kuficha IP address yako.

Next time ukileta mada humu usitumie vitisho na lugha DHAIFU ....Watanzania wameelimika karne hii ya 21.
 
c) kama huyo mrundi alipotea tu baada ya kuingia chumban, una uhakakika gani kuwa alichoandika kule kwenye net ndo chanzo?
 
Wakuu,wakati mnajisajili hapa JF mlijaza email zenu,watu wakiwataka wanaanza kutrace watu unaowasiliana nao kwa kutumia email yako.Pia unapokua online wanatrace ip yako na location then kama wanakutaka watakupata tu.Tena kwa mnaotumia mobile phones kupost ni rahisi zaidi kwani wanaanzia kwa serviceprovider wako ambaye atakua amesajili line yako.
Cha muhimu ujue tu kuwa utumie fake ID au ID halisi,ukihitajika utapatikana tu bila kujali ni muda gani watachukua.So kama unaandika mambo ukijamini kuwa kwa kuficha ID utakua umejificha,UMEPOTEA.
Ondoeni woga,ingekua watu wanapotezwa,basi wale wanaotumia facebook wangekua wameshamalizwa.
 
Kwani madai ya madaktari hayana msingi? Hayajafanyiwa uchunguzi? Ni vipi yamkute ulimboka na sio nape?
 
Cha ajabu zaidi ni pale utakapogundua kuwa humu ndani wapo vilevile akina Msangi,Chagonja na ni wakandiaji wazuri kwa serikali ingawa hadharani wanaonekana wanaitetea.
Au pale utakapogundua unayejibishana naye kwenye uzi ni presidaa mwenyewe.Natamani nimtumbue ili nimpe kavukavu.
 
Wangetumaliza walahi,serikali ya kidikteta huwa haipendi kuambiwa ukweli wala kusahihishwa,wangetumaliza

serikali ya jk siyo ya kidictetar hata kidogo hata hizi ID fake tunazotumia wakita kutupata wanatupata tu,nataks nikusahihishe wee na wenzako.
 
Kitendo cha kujisajili kwa kutumia real email adress inakufanya tuwe transparent sanaaaaaaa!! Hata ukitumia email adress ya uongo utapatikana tu coz unapofungua email adress mpya kuna mahala lazima u link na email ambayo ilishafunguliwa inakua Kama wadhamini vile.
 
Premium Member mnachangia JF kupitia tigo-pesa na m-pesa zenu ambazo zina-display name kwa Mod.

Nae akiamua anaweza kuli-attach tu kwenye user ID yake for his/her reference.

Siku akibananishwa na kupelekwa mabwepande hawezi kutaja?

Tuna uhakika gani na Mods wote wa hapa JF kama hakuna member wa UWT kati yao.

Unasajili user name fake lakini email unaweka genuine, what is that?

Mod au yoyote anaeijua aki-google email yako hawezi kuijua na real name yako??

Leo unachangia point jukwaa la siasa na kuponda sana system, kesho uko jukwaa la matangazo unauza gari na kutoa contacts zako, una akili kweli wewe?
 
Kwa asiyejua Computer Engineering, anaona amejifichaaaaa.. Ukihitajika unapatikana tu, kama alivyosema mkuu Makirita, harakati za kwenye Keyboard hazina madhara yoyote. Unacheza na wazee wa Mabwepande wewe?
 
Premium Member mnachangia JF kupitia tigo-pesa na m-pesa zenu ambazo zina-display name kwa Mod.

Nae akiamua anaweza kuli-attach tu kwenye user ID yake for his/her reference.

Siku akibananishwa na kupelekwa mabwepande hawezi kutaja?

Tuna uhakika gani na Mods wote wa hapa JF kama hakuna member wa UWT kati yao.

Unasajili user name fake lakini email unaweka genuine, what is that?

Mod au yoyote anaeijua aki-google email yako hawezi kuijua na real name yako??

Leo unachangia point jukwaa la siasa na kuponda sana system, kesho uko jukwaa la matangazo unauza gari na kutoa contacts zako, una akili kweli wewe?

Duh,
Nimeogopa sana kwa kweli.

Kwa style hii hawajaamua tu kutusaka!!
 
Back
Top Bottom