hivi jamani!

Sio lazima kwa mtu yeyote yule kua kwenye mahusiano!Soma...'mahucyano' hayakimbii!
 
ulazima? hapana,
mahusiano ni ridhaa: (assuming kuwa by mahusiano u meant sex relation)
 
Jitunze vizuri...ukiwa masomoni...ili usije ukachuja kama ''jiki''kwenye nguo bure. ukijachanganya shule+mahusiano(kama unamaanisha mapenzi)=DIV0...DIVISION ZERO Inakunyemelea.
 
.....hakuna ulazima, ila inategemea na msukumo wa mwili wako. Ukiwa serious kwenye masomo sidhani hata kama utapata muda wa kuwaza kuhusu mapenzi.
 
Kijana unatakiwa uelewe kwamba ngono hata kuku , bata,fisi,ng'ombe,punda n.k. kupandana wanaweza lakini inapokuja kwa binadamu ngono inaambatana na hisia(emotions).Kuanza mambo ya mapenzi katika umri mdogo si tu kwamba unaweza kuhatarisha maisha yako(HIV) lakini pia katika umri mdogo uwezo wa kuhimili vishindo vya mapenzi unakuwa mdogo na matokeo yake ni habari ambazo kila kukicha tunazisoma kwenye magazeti za kumeza vidonge vya chloroquine na kuishia mortuary.Take your time haya mambo yapo muda ukifika utapata fursa kubwa tu.Kwa sasa wewe bukua tu.
 
Subiri ila ukishindwa tumia condom. ISHI

hvi nilikuwa najiuliza kwa nini watoto wa siku hizi ufuaulu umepungua hata ile mood ya kusoma hakuna kumbe wapo na mambo mengi hivi....?
 
u dont have to have anything or anyone in ur life to be complete at any time.u ar content with whatever u have.count ur blessings,kuna wengi wanaitamani elimu unayopata ila hawana access.mahusiano saa hizi yatakupunguzia tu kasi ya kufukuzia dreams zako.kata nondo,huko baadae watajipanga utachagua mwenyewe kwa raha zako
 
Halafu wewe!!!!

Hebu soma acha kuharibu ada za wazazi wako............................
 
Back
Top Bottom