Hivi jamani nasikia Ulaya kuna shule za ngono, ni kweli?? Au hata Bongo zipe hazitangazwi tu??

Mdau Makini

Member
Sep 18, 2012
70
10
Inaweza ikawa haina mantiki kuuliza swali kama hilo ila ukimwaga idea zako hapo zinaweza kumsaidia mwingine.Je ULAYA(mataifa Makubwa/mengine) kuna shule za ngono/mapenzi??..kama zipo zinawasaidia nin?? Au ndo kuvunja maadili na Waafrika kukopi na kupaste na kueneza Magonjwa ya ngono.Je na Bongo zipo??
 
Unaulizia shule za ngono badala ya kutafuta elimu itakayokuweze kukabili challanges za maisha ya sasa? Kwanamna hii tutatafuta wawekezaji mpaka wa kujenga vyoo
 
hakuna shule hizo za ngono ila kuna watu waitwao Pimp Daddy ambao humiliki wanwake na kuwauza kwa pesa. Pimping ni kuwatawala wanwake na kuwaweka katika jumba moja humo kuna ma daktari wa kuabort na kuwatibu kila subuhi . sule za ngono ni uongo mtupu!
 
kwani unyago, kumcheza/kumfunda Mwali, kibao kata ni nini?

Au shule lazima iweje?
 
Last edited by a moderator:
Kila jamii yenye kufanya ngona kufundisha lazima kupo... Sema ulaya wapo wazi zaidi wana record na kusambaza. Nadhani kuna mambo ambayo hufundishwa hapa Bongo wangesambaza ingekuwa balaa!
 
hakuna kitu kama hicho. Kwanza ulaya kama hujui watu hawafanyi ngono kama huku afrika
 
Inaweza ikawa haina mantiki kuuliza swali kama hilo ila ukimwaga idea zako hapo zinaweza kumsaidia mwingine.Je ULAYA(mataifa Makubwa/mengine) kuna shule za ngono/mapenzi??..kama zipo zinawasaidia nin?? Au ndo kuvunja maadili na Waafrika kukopi na kupaste na kueneza Magonjwa ya ngono.Je na Bongo zipo??

Kwani huko bara hakuna jando na unyago?! na kitchen party, na kumcheza mwali na kumfunda mwali? Ngono ni katopic kwenye hiyo curriculum.
 
hakuna shule za ngono nlichoona ni watoto kufundishwa kujifahamu mapema na matumizi ya condom,
pili kwenye tv kuna vipindi kama sex education in schools ambako wataalamu wa masuala ya jinsia na madaktari hutembelea mashule kuwaeleza mambo anuai yahusuyo sex kwa mifano kamili kama kuchagua baadhi ya wanafunzi kusimama uchi
na wenzao kuwadescribe mfano wasichana huambiwa kuchagua aina ya sex organ ya kiiume wanayoipenda na kwanini
wanapenda maziwa yaweje nk. kwa mlio UK channel 4 mtakuwa mmeona sana,

The Sex Education Show | Sexy Shoes | Channel 4 - YouTube sehemu ya clip hii hapa

Norway,Sweden,Denmark nk mtaweza kueleza zaidi/
wakati huo enjoy this funny clip Sex Education 101 with Melanie Griffith - YouTube
nadhani sasa kwa tanzania tuwe na utamaduni wa kuwaeleza mapema watoto juu ya miili yao wajitambue
kuwaficha ficha madhanra yake ni makubwa zaidi
 
Labda jamaa aliona matangazo ya kozi za sex and sexuality...msimbishie hizo kozi zipo na nina mshikaji wangu anafanya PhD ya sex and sexuality...inachekesha lakini wenyewe hakuuu wako proud na kozi yao...nawajua kama mtu tatu wanafanya PhD katika hiyo area (sex and sexuality). Hata sijawahi kuwauliza ki undani wana research nini ila hao wadada hata tukiwa kwenye presentation za maana wao ni full kutukana. Lol.

Tena juzi kati nimeona tangazo la scholarship ya mambo ya ulesbian kama sikosei focus ni Afrika...hivyo hao wataalamu utumia life history za watu na ku report sex life za watu.
 
Heri kukaa kimya ukaonekana hujui kuliko kunena ili uonyeshe unajua wakati hujui. Nani anahitaji shule za ngono au ni yale yale ukameruni?
 
Kwa kuwa hatujuhi exactly wanajifunza nini tusiwabonde labda ni kama unyago wa Afrika.

Ila nadhani hizo kozi zimekuwa na wafadhili wengi these days sababu ya kupigania haki za binadamu hasa lesbian na ma gay(ma kameruni)

Kuna wanafunzi waliniacha hoi.. kuna philosopher anaitwa Foucault ni jina kubwa kweli kweli kwenye development studies...kumbe bwana alikuwa gay; kuna chuo kimoja wenyewe wanatetea haki za ma gay basi waliweka picha ya huyo philosopher wanafunzi waliokuwa wanamuaminia huyo philosopher ndo eeeh kumbe nae alikuwa gay...wana harakati waliweka picha za watu mashuhuri ili watu waone kuwa kuwa gay ni kitu cha kawaida...vile vile waliweka na picha ya Elton John na mmewe sijuhi mkewe.

Na nakwambia wanaochukua hizo kozi huwambii kitu kuhusu u gay japo wao ni straight. Kuna mpaka wa afrika lakini wanatetea gay rights.

Heri kukaa kimya ukaonekana hujui kuliko kunena ili uonyeshe unajua wakati hujui. Nani anahitaji shule za ngono au ni yale yale ukameruni?
 
They can all perish in hell and so be it. Siyo kila elimu ni elimu. Ni wajibu wa mhusika kutumia akili yake badala ya masaburi.
 
Katika kupreruzi nimekutana na hiki (Indian sex University)
unacho kisema hapo kwenye mfano wa huyo rafiki yako kuna ukweli
Labda jamaa aliona matangazo ya kozi za sex and sexuality...msimbishie hizo kozi zipo na nina mshikaji wangu anafanya PhD ya sex and sexuality...inachekesha lakini wenyewe hakuuu wako proud na kozi yao...nawajua kama mtu tatu wanafanya PhD katika hiyo area (sex and sexuality). Hata sijawahi kuwauliza ki undani wana research nini ila hao wadada hata tukiwa kwenye presentation za maana wao ni full kutukana. Lol.

Tena juzi kati nimeona tangazo la scholarship ya mambo ya ulesbian kama sikosei focus ni Afrika...hivyo hao wataalamu utumia life history za watu na ku report sex life za watu.
 
Labda jamaa aliona matangazo ya kozi za sex and sexuality...msimbishie hizo kozi zipo na nina mshikaji wangu anafanya PhD ya sex and sexuality...inachekesha lakini wenyewe hakuuu wako proud na kozi yao...nawajua kama mtu tatu wanafanya PhD katika hiyo area (sex and sexuality). Hata sijawahi kuwauliza ki undani wana research nini ila hao wadada hata tukiwa kwenye presentation za maana wao ni full kutukana. Lol.

Tena juzi kati nimeona tangazo la scholarship ya mambo ya ulesbian kama sikosei focus ni Afrika...hivyo hao wataalamu utumia life history za watu na ku report sex life za watu.
hebu nipe hiyo link mie nikapumzike nikila kodi zao. Manake hapa nilipo sijitambui, nilikatazwa hata kujichungulia
 
Back
Top Bottom