Hivi jamani kuna vya wanawake na vya wanaume?

haya tuweke kinywaji pending..
lets move on.
Part 3 UNADHIFU

Siku hizi wanawake na wanaume generally wanajitahidi sana kwenye usafi na utanashati.Kuna hata misemo kuwa cleanliness is Godly....to be clean is to be next to God etc.Lakini suala la usafi lina siasa zake.Je wanawake na wanaume ni wapi wanajali sana usafi wao binafsi - mwili, nywele, nyumba wanamoishi, maofisini, vyooni nakadhalika?
Tuwe wakweli kabisa kwenye hili.

Wanaume na wanawake wengi ambao bado wako ''single'' wana tatizo la usafi majumbani kwao. Ila utanashati wa mavazi na perfume za gharama utawapenda!

Ila tuache utani ni bora nyumba ya bachelor kuwa chafu kuliko uennde nyumbani kwa msichana yuko single halafu ukute pachafu! Phew!!!
 
Huyu mnywa safari tunayemzugumzia hapa ni ex-gf wangu mzee! I am old enough to have had several experiences in relationships!

Ooh! Thanks God! Cku ukikutana naye kwa bahati mbaya nasisitiza kwa bahati mbaya usisite kumshauri aachane na safari lager. Its not good for her health. By the way bado mnakutana kwa ajili ya hili na lile?
 
Sawa mkubwa nitamfikishia ushauri wako! She is around!
 
Hahaha! Yeah i knew it. Tafadhali ukikutana naye leo buy her some fresh milk. I will pay you back. Afu unitumie na contacts zake kwa ajili ya ushauri zaidi.
 
Wanaume na wanawake wengi ambao bado wako ''single'' wana tatizo la usafi majumbani kwao. Ila utanashati wa mavazi na perfume za gharama utawapenda!

Ila tuache utani ni bora nyumba ya bachelor kuwa chafu kuliko uennde nyumbani kwa msichana yuko single halafu ukute pachafu! Phew!!!
MI NILIDHANI UCHAFU NI KITU KIBAYA KWA WOTE.KWANINI UNASEMA uchafu ni mbaya zaidi kwa mwanamke? Ina maana kuna excuse kwa mwanaume kuwa mchafu?
Akina dada/mama... mnalionaje hili? mnapenda wanaume wachafu?
 
Hahaha! Yeah i knew it. Tafadhali ukikutana naye leo buy her some fresh milk. I will pay you back. Afu unitumie na contacts zake kwa ajili ya ushauri zaidi.

Leo off point zimekuzidi,tunaongelea unadhifu na usafi sasa.will you be serious now plz,for me!
 
2. RANGI
Huwa pia kuna kasumba kwamba rangi ya pinc ni kwa ajili ya wanawake, na hii kasumba si kwetu Tz/Africa hata baadhi ya maeneo ya Mashariki ya Mbali huko Asia nilikutana na kasumba hii nilipokuwa huko. Sasa, ni kitu gani kihalalishe rangi ya pinc ionekane ni ya wanawake tu?

Hivi kweli, spellling mistakes zingine!! mtu ukiandika kitu huwa hurudii kusoma na kuona neno kama "pinc" halijakaa sawa? Si bora ungeandika kwa kiswahili basi "PINKI"?
 
MI NILIDHANI UCHAFU NI KITU KIBAYA KWA WOTE.KWANINI UNASEMA uchafu ni mbaya zaidi kwa mwanamke? Ina maana kuna excuse kwa mwanaume kuwa mchafu?
Akina dada/mama... mnalionaje hili? mnapenda wanaume wachafu?[/QUOTE]

Mie napenda niwe smart sana,pamba za nguvu.Bafuni na ****** kunukie pafyumu.Madirisha makubwa yenye hewa,nymba nzuri yenye nafasi kubwa,sio chumba 1 cha kupanga sebule,jiko,stoo na chumba vipo hapohapo.
na mume wangu awe smart avae tai kila wakati.
Tatizo kubwa linalowafanya watu wawe wachafu sometimes ni umasikini japo pia tabia ya mtu kwa kiasi fulani nayo inachangia.
 
MI NILIDHANI UCHAFU NI KITU KIBAYA KWA WOTE.KWANINI UNASEMA uchafu ni mbaya zaidi kwa mwanamke? Ina maana kuna excuse kwa mwanaume kuwa mchafu?
Akina dada/mama... mnalionaje hili? mnapenda wanaume wachafu?

Mara nyingi kwenye jamii za Kiafrika kuna excuse japo siitetei ya mwanaume bachelor kuwa na nyumba chafu au isiyo na mpangilio wa vitu usioleweka!

Sasa mwanamke ukikuta nyumba ya bachelor ni safi kuliko hata ya kwako utaweka ''input'' gani hapo ili aone umuhimu wako? Au ukute mwanaume anajua kupika balaa!! Wewe utafanya nini kipya ili aone umuhimu wako kwake?
 
MI NILIDHANI UCHAFU NI KITU KIBAYA KWA WOTE.KWANINI UNASEMA uchafu ni mbaya zaidi kwa mwanamke? Ina maana kuna excuse kwa mwanaume kuwa mchafu?
Akina dada/mama... mnalionaje hili? mnapenda wanaume wachafu?[/QUOTE]

Mie napenda niwe smart sana,pamba za nguvu.Bafuni na ****** kunukie pafyumu.Madirisha makubwa yenye hewa,nymba nzuri yenye nafasi kubwa,sio chumba 1 cha kupanga sebule,jiko,stoo na chumba vipo hapohapo.
na mume wangu awe smart avae tai kila wakati.
Tatizo kubwa linalowafanya watu wawe wachafu sometimes ni umasikini japo pia tabia ya mtu kwa kiasi fulani nayo inachangia.

Duh! Unataka avae tai hata weekend? Hilo la umasikini nimekuelewa. Litaingia tu hapo kwenye kuwa na nyumba kubwa yenye nafasi, madirisha yenye hewa na kadhalika. Ila kwenye usafi wa kila siku huhitaji kuwa na kipato cha juu sana kuwa msafi na nadhifu.

Kusafisha nyumba yako na nguo zako unahitaji sabuni ya kawaida tu! Usafi kwa kiasi kikubwa ni tabia ya mtu mwenyewe binafsi ingawa na mazingira aliyokulia, pia malezi yanachangia kwa kiasi kikubwa!
 
Masaki na ZD,
Nadhani umasikini wa mtu hautamfanya awe mchafu bali atakosa vitu vya kumfanya aongeze umaridadi.
Ukiwa na nyumba hata ya udongo - sakafu ukaimwagia maji na kufagia..vitu vyako vichache ukavipanga mahali pake, wewe mwenye ukaoga nadhani usafi unawezekana.
Masaki - mimi bado niko na wewe kwenye kujaribu kumpa jukumu lka usafi mwanamke.Huoni kama wanaume nao wakiwa mstari wa mbele kwenye usafi itaongeza tija katika nyanja mbalimbali? Sasa hivi tunalalamika miji yetu ni michafu sana... ukichunguzu viongozi wengi wenye dhamana ni wanaume.Unadhani kama wana mitizamo kama yako wataweka kipaumbele na resources kwenye usafi? Je wanawake ndio wapewe dhamani hii?? ni maswali tu kuchagiza mada.
 
Mimi nilidhani haya ya kawaida sana kwa Dar kwa ajili ya joto,yani huwezi rudia nguo mara 2.Usafi ninaoongelea mimi ni ule unadhifu wa kwenda na wakati,sio mdada unavaa kachumbari(viatu vyekundu,sketi ya njano,pochi nyeusi na blauzi ya kijani) ,huoni kama huo ni uchafu.
na kuhusu mume kuvaa tshirt w'end ruksa lakini sio katikati ya wiki.
 
Hivi kweli, spellling mistakes zingine!! mtu ukiandika kitu huwa hurudii kusoma na kuona neno kama "pinc" halijakaa sawa? Si bora ungeandika kwa kiswahili basi "PINKI"?

wewe kama edita hapa umeingia choo cha kike, humu tunajiachia tunavyotaka ukitaka ku edit spelingi na grama nenda jukwaa la akina blurei.
 
Masaki na ZD,
Nadhani umasikini wa mtu hautamfanya awe mchafu bali atakosa vitu vya kumfanya aongeze umaridadi.
Ukiwa na nyumba hata ya udongo - sakafu ukaimwagia maji na kufagia..vitu vyako vichache ukavipanga mahali pake, wewe mwenye ukaoga nadhani usafi unawezekana.
Masaki - mimi bado niko na wewe kwenye kujaribu kumpa jukumu lka usafi mwanamke.Huoni kama wanaume nao wakiwa mstari wa mbele kwenye usafi itaongeza tija katika nyanja mbalimbali? Sasa hivi tunalalamika miji yetu ni michafu sana... ukichunguzu viongozi wengi wenye dhamana ni wanaume.Unadhani kama wana mitizamo kama yako wataweka kipaumbele na resources kwenye usafi? Je wanawake ndio wapewe dhamani hii?? ni maswali tu kuchagiza mada.

Hilo nalo ni wazo zuri, kwamba majukumu yanayohusiana na usafi wa miji yetu wapewe wanawake! Mara nyingi wanawake wanategewa kuwa wasafi zaidi kuliko wanaume katika nyanja zote! Labda kama ni mtazamo unatakiwa kubadilika, hasa katika jamii zetu za Kiafrika.
 
Mimi nilidhani haya ya kawaida sana kwa Dar kwa ajili ya joto,yani huwezi rudia nguo mara 2.Usafi ninaoongelea mimi ni ule unadhifu wa kwenda na wakati,sio mdada unavaa kachumbari(viatu vyekundu,sketi ya njano,pochi nyeusi na blauzi ya kijani) ,huoni kama huo ni uchafu.
na kuhusu mume kuvaa tshirt w'end ruksa lakini sio katikati ya wiki.

Hahahaha hiyo kachumbari balaa! Hiyo inakwenda mpaka kwenye nguo za ndani, mtu akivaa chupi ina mirangi rangi inachefua kwa kweli. Unakuta chupi ina rangi zaidi ya mbili khaa! Njano, bluu na nyeupe! Ukijiuliza kaitoa wapi hupati jibu maana hata wachina sijui kama bado wanatengeneza!
 
Back
Top Bottom