Hivi jamani humu hamna wapenzi wa tamthiliya

Hivi humu ndani kuna mtu amewahi tazama the sopranos?????????????????
 
isidingo last tym nilitiza 2000 hadi leo ni 2010 bado ipo tuu! tamthilia huwa ni ndifu ila hii ni balaa.
unaionaje saborati?
 
wana mtoto anaitwa Hiranya.........(adopted na Rajesh baada ya mvutano mkali)ila huku SABC3 wana msukosuko sana kwenye ndoa yao..ile mimba haikuwa ya Zeb wakati wanapandikiza mbegu za Zeb tayari Nthandi alikuwa na ujauzito wa Parson....bahati mbaya mtoto hakuwa riziki na walisha hama mji siku nyingi
 
isidingo last tym nilitiza 2000 hadi leo ni 2010 bado ipo tuu! tamthilia huwa ni ndifu ila hii ni balaa.
unaionaje saborati?

Kwa taarifa nilizozipata kipindi Isidingo inaanza kuoneshwa ni kwamba Isidingo kimkataba inatakiwa iwe hewani kwa masaa 8,330 kama sikosei na ndo maana umeona ni ndefu,na ikitimia hayo masaa 8,330 ndo hivyo imeisha. Yaani THE BOLD AND BEAUTIFUL bado inaendelea hadi leo,mara ya kwanza kuiona ni mwk 1998 sambamba na Sunset Beach. Ila naivulia kofia DAYS OF OUR LIVES hadi leo bado ipo hewani, kuna jamaa alianza kuiona mwaka 1992 Ethiopia!!!!
 
Bht hapo umenigusa....
Yaani ......but haupo kama hao characters
au hukuwaelewa???????
 
Desparate Housewives..
Kwa manaopenda vitu vya kikomedikomedi..
Its Good stuff
 
Bht hapo umenigusa....
Yaani ......but haupo kama hao characters
au hukuwaelewa???????

kwani kila wafanyalo ni baya????

I love the thing bana.........huko naangalia mengi, ikiwa ni pamoja na mavazi!!
 
Kwa taarifa nilizozipata kipindi Isidingo inaanza kuoneshwa ni kwamba Isidingo kimkataba inatakiwa iwe hewani kwa masaa 8,330 kama sikosei na ndo maana umeona ni ndefu,na ikitimia hayo masaa 8,330 ndo hivyo imeisha. Yaani THE BOLD AND BEAUTIFUL bado inaendelea hadi leo,mara ya kwanza kuiona ni mwk 1998 sambamba na Sunset Beach. Ila naivulia kofia DAYS OF OUR LIVES hadi leo bado ipo hewani, kuna jamaa alianza kuiona mwaka 1992 Ethiopia!!!!

kuna tamthilia inaitwa EASTENDERS huko UK inaonyeshwa bbc1 hii ilianza 1985 hadi kesho inaendelea,ingine inaitwa EMMERDALE hii inaonyeshwa itv1 UK na hii ilianza 1972.......watu wanakufa.....wanazaliwa......mchezo unaendelea hadi kesho.....
 
Ndio maana watu wengi tunatizama seasonally.....yaani toka ilivyoanza kuonyeshwa mpaka leo haliishi tu. Mi hizo ulizosema hata sijawahi kuzisikia....ila kwa kweli nilipenda sana tamthiliya ya "the promise" na "la mujer de mivida".......hizi tamthiliya zilikuwa bomba sana.

Sa ile ya Passion, ndo balaa, yaan mtu anaanguka tangu jumatatu anafika chini ijumaa.

Mi huwa naipenda Edge of paradise.
 
shades of sin
storm over paradise
jumong
sunset beach
the colour of the wind (sina hakika kama niko sahihi ila hii ni ile ya kikorea baada ya jumong)
don't mess with angles
mar mar
Dae jung ma
 
kuna tamthilia inaitwa EASTENDERS huko UK inaonyeshwa bbc1 hii ilianza 1985 hadi kesho inaendelea,ingine inaitwa EMMERDALE hii inaonyeshwa itv1 UK na hii ilianza 1972.......watu wanakufa.....wanazaliwa......mchezo unaendelea hadi kesho.....

Hahaha! Si mchezo! Bongo walitakiwa waige vitu kama hivi! Ni ajira tosha hiyo...
 
Sex and the City..................

New York ladies..aah Samantha kill me with her charm siyo character,lol!!..nai-like SATC!

Desparate Housewives..
Kwa manaopenda vitu vya kikomedikomedi..
Its Good stuff

Wisteria Lane ladies nawapenda pia..

Hivi humu ndani kuna mtu amewahi tazama the sopranos?????????????????

Kiukweli mara mwisho ni 2006 nimeangalia Sopranos, mikesha niliichoka..ila stori zake nilinikonga, Tony Soprano nae sana napenda navyoigiza!!
 
kuna tamthilia inaitwa EASTENDERS huko UK inaonyeshwa bbc1 hii ilianza 1985 hadi kesho inaendelea,ingine inaitwa EMMERDALE hii inaonyeshwa itv1 UK na hii ilianza 1972.......watu wanakufa.....wanazaliwa......mchezo unaendelea hadi kesho.....

Aaah ebana eeeh umenikumbusha soaps za UK. Kipindi hicho bado niko middle school tamthilia ya Neighbours ilikuwa iko kwenye chati sana. Hii tamthilia ilikuwa ya WaAustralia lakini walikuwa wanaipenda sana UK.

Mimi nilikuwa napenda kumwangalia Kylie Minogue. Nilikuwa nampenda sana aisee. Kila jioni saa kumi na moja nikitoka shule nilikuwa sikosi kuiangalia. Baadaye yeye Kylie na Jason Donovan (mwigizaji mwenzake) wakaja wakatoa single yao "especially for you" na ikaenda moja kwa moja kushika namba ya kwanza kwenye chart za Top of the Pops.

Miaka kadhaa iliyopita Kylie aligundulika na saratani ya titi lakini nadhani alipona. Na bado yuko chuma kama zamani....daaah Kylie Minogue

Eastenders pia nilikuwa naipenda pamoja na ile sitcom ya The Desmonds.

http://www.youtube.com/watch?v=PZSQ7cibZw8
 
isidingo last tym nilitiza 2000 hadi leo ni 2010 bado ipo tuu! tamthilia huwa ni ndifu ila hii ni balaa.
unaionaje saborati?

Hii Isindingo huwa naangalia ile ya SABC lakini naona kama ni tamthilia nzuri inayozaa matukio ndani ya matukio ..kwa ujumla naipenda sana
Kuna the Young and the restless ,days of our lives kina mzee DiMera ,Marlena zile sijui zilianza miaka ya arobain na haziishi ..
 
Huyo Marlena alishaondoka kitambo kwenye hiyo days of our lives.
 
Back
Top Bottom