Hivi Jack Pemba ni tapeli?

ms.jpeg

Kesi hii inahusu nini hasa?
 
habari wakuu, kama title isemavo huyu mtu ni nani maana nimeona clip zake anachezea pesa si mchezo, ni nan hasa huyu mtu hapa tz
 
Kama ni pombe atakuwa mdogo wake Magufuli..
Ila kama ni Jack pemba basi ni mbongo mfanya biashara anaishi Kampala.. Ana pesa za kawaida tu ukilinganisha na wanasiasa wengi hapa tz .. Sema yeye anapenda sho off nyingi sio kitu kibaya ni pesa zake... Wanamuziki wengu wanamuimba jak pemba.... Fm academia na wengine..
 
Mume wake Aunty Ezekiel enzi hizo kabla ya dansa......
Ndio mjue pesa sio kitu mbele ya shibobo sometimes.......
 
Kama ni pombe atakuwa mdogo wake Magufuli..
Ila kama ni Jack pemba basi ni mbongo mfanya biashara anaishi Kampala.. Ana pesa za kawaida tu ukilinganisha na wanasiasa wengi hapa tz .. Sema yeye anapenda sho off nyingi sio kitu kibaya ni pesa zake... Wanamuziki wengu wanamuimba jak pemba.... Fm academia na wengine..

makosa ya kiuandishi ni JACK PEMBA mkuu
 
Kama ni pombe atakuwa mdogo wake Magufuli..
Ila kama ni Jack pemba basi ni mbongo mfanya biashara anaishi Kampala.. Ana pesa za kawaida tu ukilinganisha na wanasiasa wengi hapa tz .. Sema yeye anapenda sho off nyingi sio kitu kibaya ni pesa zake... Wanamuziki wengu wanamuimba jak pemba.... Fm academia na wengine..

Hata Mpoki a.k.a Bill Duke (mniga) huwa anamshobokeaga ktk comedy show.
 
Mpiganaji mmoja ambae uwa anapigana mpaka tone la mwisho la damu yake lakini akizikamata lazima aje kuwakimbiza mchakamchaka wote wenye vi-pussy pale bongo movie au bongo fleva mpaka wanaomba afilisike uyo ndiye Jack Pemba asie na uwoga na deal iliyo mbele yake ukishangaa anakuacha ferry maana hata yeye anaachagwa ferry akikutana na manguli kwa sasa yupo Uganda anatia balaa lake lakini mpaka Bongo habari inafika.
 
Back
Top Bottom