Hivi Jack Pemba ni tapeli?

Mimi nadhani majibu ya uhakika juu ya JP na move zake na hata mkono wa kuwa na big deals hadi serikali muulizeni Kapuya. JP ni mmoja wa wapenzi wakubwa wa Akudo Sound ambyo ni mali ya Kapuya na kila weekend utawaona msasani wako meza moja waziri huyu .
 
Jack Pemba ana mchumba bongo anaitwa Aunt Ezekiel Greyson, kwa sasa binti ana mimba. Binti hajui kuwa Jack ana mke UK.

Jamaa kaingia mjini kwa vurugu sana...

Aunt Ezekiel Greyson ndio huyu anakatwa denda na Jack Pemba?
 

Attachments

  • jackp1.jpg
    jackp1.jpg
    54.3 KB · Views: 256
  • jac-p2.jpg
    jac-p2.jpg
    45.8 KB · Views: 302
Insurgent ,

Mimi simjui Jack Pemba na wala sina haja ya kumjua , lakini napinga kitendo chako cha kuweka picha zake za faragha hapa nakipinga kwa nguvu zangu zote ! Kusema ukweli ni kitendo cha aibu kinachoshushia hadhii hii forum , tafadhali moderator tuondolee huo uchafu ! Whether mke wake anajua au hajui that is non of your business, you need to grow up .
 
Insurgent ,

Mimi simjui Jack Pemba na wala sina haja ya kumjua , lakini napinga kitendo chako cha kuweka picha zake za faragha hapa nakipinga kwa nguvu zangu zote ! Kusema ukweli ni kitendo cha aibu kinachoshushia hadhii hii forum , tafadhali moderator tuondolee huo uchafu ! Whether mke wake anajua au hajui that is non of your business, you need to grow up .

teh he he...mbona masuala hayo halifanyika hadharani? Kama angeona noma angekula denda ndani sio mbele ya kadamnasi. Karibu kwenye enzi za uwazi...Sidhani yeye mwenyewe anamind picha zake kuwa hapa, kama hapendi aniandikie ;-)

Anyway kama mtu huyu ni tapeli kweli, then lazima aumbuliwe la sivyo atatuharibia jina la nchi yetu nzuri ya Tanzania. Hatutakubali tupate sifa ya utapeli ambayo Nigeria wameshika kombe.

Moderator ataamua kama picha hizo ni uchafu ili aziondoe, lakini Fikiraduni alisema huyu mtu ana mchumba ambaye ana mimba bongo, na huyo dada anaeleke kuwa na uja uzito. Nafikiri maneno ya Fikiraduni yana ukweli ndani yake...

Rufiji, pole sana, sikuwa na nia ya kukuudhi.
 
JACK ana mke MZUNGU huku UK na nyumba yake ya Coucil kaipangisha anaishi kwenye nyumba ya wakwe zake...baba mkwe ni architect na nyumba naiyoishi Jack ni ya baba mkwe iko kule North London..nikipata muda nitaiposti picha ya nyumba yenyewe ...actually ni kama apartment estate hivi na kuna geti...jacki Pemba ni mtoto wa PUpanga na alikuwa mtu fresh mpaka pale alipojaaliwa kupata wepesei wa Rizki.

Tusu sahau kuwa huku ana kesi ya kumtishia jamaa wa Kipemba bastola kisa? jamaa alikuwa anamdai pesa jamaa aitwa Musa kama sikosei...mengine bora tuyaache la muhimu mie sipendi kutukaniwa WATANZANIA WENZANGU na mshenzi huyu

sasa hiyo si muhimu la muhimu kama kuna mtu alikuwa anafuatilia utaona alivyokuwa anawatukana watanzania kisa alichukua BRITISH PASSPORT mwaka jana na iburi hiki anapewa na KANALI IDDI KIPINGU ambao wote kwa pamoja walipata access ya kukutana na JK

YALE YALE YA KUMKUTANISHA RAIS NA MAMEDIOCRE INVESTORS
 
.... hahahaha naona mada inaanza kugeuka sasa...
Nimekuwa nikiogopa kudandia mkuki kwa mbele maana simjui jaki pemba ingawa namsikiaga tu ktk vyombo vya habari vya bongo...

anyway kama ni criminal inakuwaje intelejensia ya bongo imeshindwa kutambua?? au kuna udhaifu mahala..?

halafu hakuna aliyejibu swali lwa iweje atapeliwe madini huku grand deal ni sports?? je wanaofadhili michezo wana agenda ya siri?? maana inaanza kunikumbusha zilee stori za akina dweji walipokuwa wanashindana kudhamini soka....

anyway tanzania ni tamu na ladha yake inavutia....
 
intelijensia hiyo imeshindwa kuzuia mikataba bomu ya RADA ndio itapoteza muda na Jeki pemba?

cha ajabu jumamosi ile alikurupuka kuweka picha za passport na mikkataba yote MICHUZI blog baadae ya kuona huku JF tumestukia akamwambia swahiba wake michuzi aondoe but it was too late ma INTELIJENSIA wa JAMBO FORUMS walishazikopi zote na mpaka risiti za CRDB zimo humu

bwan mdogo alitakiwa atulize ball tuu angekuwa anakula kivulini kama wenzie akina Baraka shelukindo
 
... nina wasiwasi na michuzi kuwa ni kada mtimilifu....
anyway ukweli tumeeujua maana huku JF tupo macho saa 24....

Lakini hatutajibu swali kuwa kama ana uraia wa nchi mbili.... kwa katiba ipi na taratibu zipi za nchi ipi? Na uhamiaji wanafanya nini??? ina maana uhamiaji inashughulika na wakongo na wasomali pekee???
 
Hivi kumbe ALHAJI JUMA KAPUYA ANA BENDI YA MUZIKI?

mbona sie wengine tutaenda peponi....ALHAJI MZIMA ana bendi ya MUZIKI?

I LOVE JAMBO FORUMS
 
According to mouthpiece ya bwana JP ambayo ni Michuzi blog leo kaanza tena kumpigia debe huyu investa toka uingereza...pesonally naona this is too early ndio kwanza leo ni tarehe 2/1/2008



jack pemba aibuka upya 2008​

mfanyabiashara mashuhuri jack pemba akiwa na wachezaji nyota wa zamani wa uingereza alipowaleta mwaka jana bongo. habari za uhakika zinasema mgogoro ulioumuka katika kampuni ya kusaka na kukuza vipaji ya global scouting bureau (gsb) umekwisha na yeye ameonekana hana tatizo na kupewa shavu la kuendelea na kazi yake ya umakamu wa rais katika shughuli za kimataifa. pia habari zimeeleza kwa sasa yeye amenunua hisa kwenye gsb na kuwa mkurugenzi na sio mwajiriwa tena.


katika mahojiano yangu kwa njia ya simu na rais wa gsb, james gamble, alieko marekani, amenithibitishia hayo na kuongeza kwamba jack pemba hakuwa amefukuzwa gsb bali amesimamishwa ili kupisha uchunguzi ufanyike kuhusu mambo kadhaa ikiwemo ubadhiulifu wa pesa na kwamba amekutwa hana hatia na amerejea kazini kama kawaida. jack pemba pia nilipoongea nae kathibitisha hilo na kusema anatarajiwa kurejea bongo hivi karibuni kuendeleza libeneke pale alipokomea baada ya mgogoro kuumuka.

SOURCE:http://issamichuzi.blogspot.com/


Kwa hiyo JACK PEMBA hana hatia lakini hii haiondoi ukweli kuhusu credibility yake na Kanali Iddi Kipingu

The Jury is still out...after all hii ni JANUARY
 
[/QUOTE]Kwa hiyo JACK PEMBA hana hatia lakini hii haiondoi ukweli kuhusu credibility yake na Kanali Iddi Kipingu

The Jury is still out...after all hii ni JANUARY[/QUOTE]

Huu ndio Uafrika...umeshaambiwa kuwa uchunguzi umefanyika na JP hana hatia na hivyo amerudi kazini. Huoni kuwa kwa kukaa pembeni na matokeo ya uchunguzi kumsafisha ina maana credibility yao imepanda?
 
I guess the mtoto wa "Saigon" can never do right, from Kikwete, Ditto to Jack Pemba.
 
Kuna yeyote anayefahamu kwanini MICHUZI amekuwa MPIGA DEBE MAARUFU wa JACK PEMBA?
 
Kuna yeyote anayefahamu kwanini MICHUZI amekuwa MPIGA DEBE MAARUFU wa JACK PEMBA?

Huenda mtazamo wako na wangu ni sawa. Mi mwenyewe nilitaka sana kujua hili, kwa sababu pale kwa Michuzi habari za tapeli Pemba huwa haziishi!
 
I guess the mtoto wa "Saigon" can never do right, from Kikwete, Ditto to Jack Pemba.

Mjomba kwa KHISHMA na THWAADHIMA tuombe radhi sisi watoto wa Saigon na sio hawa watu wa kudandia mambo toka kwao huko madongo POROMOKA

hivi wewe kwa akili yako unafikiri vikao vya saigoni vya jioni kuna hawa watu wa kuletwa?

acha bwanaaa hebu tuombe radhi mkulu

wakija huwa tunawatazama weee kisha wakipata baraka zetu then tunawaachia

sasa kama lishindwa the so called ALHAJ MWINYI ndio angeweza kuingia huyu mtoto si rizki Jaki Pemba eeebwana hebu kwanza tutake roho sie wenye mji wetu mkulu

Duh! yaani my heart is bleeding kwa kutaka kusema eti JACKI PEMBA ni mtoto wa SAIGONI

Duh!

huyu mjinga mjinga (jaki pemba) muulize swali dogo sana kuwa EGYPTIAN walikuwa wanafanya mazoezi mtaagani hawezi kukujibu sembuse hiyo ya membership SAIGIONI!!!


huyu JP atakuwa memba pale JOLLY CLUB na walevi wenzie lakini si SAIGONI
 
Back
Top Bottom