Hivi Jack Pemba ni tapeli?

cha kujiuliza ni je ndugu MUZAMIL ataweza kucounter shitaki? Je serikali yetu itaendelea kuchezewa na watu hawa mpaka lini?

IsaacPassport.jpg

TAZAMA TOFAUTI HAPA:

jackpassport.jpg
 
Mimi namshangaa sana Kanali Kipingu unajanja wote ule analaghaiwa na m-babaishaji wa London huyu.

From day one the moment I heard abt this deal I knew its just the matter of time before something dramatically happen and here we are now....
 
Bado nipo kizani,sijaelewa sakata hili.Pemba kafanya nini na huyu Muzamil kafanya nini katika huu "utapeli"
 
Mtu
Icadon
Mamalao

Hebu Kuweni Wepesi Wa Kuelewa Jama, Msiwe Mnarukia Kujibu Kitu Bila Kusoma Maelezo Yaliyotolewa Hapo Awali,wenzenu Wote Wamesoma Na Wameelewa Sasa Iweje Nini Mumeshindwa Kuelewa?

Mmeekewa Links Za Hii Story Nzima Na Source Yake Sasa Saa Hizi Mnasema Hamjaeelewa Tuu?
 
Jamani Msilaumu Jack Pemba Si Ajabu Katapeliwa....huyu Muzamil Katunzi Na Papaa Msoffe Ni Viumbe Hatari Sana Hapa Mjini ..walishawahi Kumliza Muisrael; 2million Dollars...sintashangaa Wakimliza Jack....
Details Za Muzamil ,papaa Msoffe Na Wengine Kwenye Network Yao Zinahitaji Muda Sana Kuzieleza...ni Watu Hatari...sasa Sijui Labda Jack Alitaka Kuwaletea Janja Ya London Wakamua Kumpa Kavu Za Uso...usanii Kwenye Jumba La Sanaa ...
 
Huyp PAPAAA MUSOFEEE, bwana najua kama naye ana mabalaa yake hapo mjini lakini kwa taarifa za haraka haraka ni kuwa bwana JACK yeye alijidai anjuana na huyo KIPINGU ambako alipelekwa kuonana na waziri wa michezo bongo,sasa si unajua ana hiyo BRITISH PASSPORT bas! sasa huu utapeli wake na hao wazungu anakuja kulaumu mamlaka zetu za kisheria

Sie wengine tuko very confident na JESHI LA POLISI,TRA,naMAHAKAMA zetu sasa iweje leo JACK PEMBA anataka kutuchafulia jina? Taifa letu sisi tuko makini bwana na yeye kama hawezi aende akainvest huko NIGERIA kama si BURKINA FASO lakini sio kututukana matusi ya nguoni na Viongozi wetu
 
Jamani Msilaumu Jack Pemba Si Ajabu Katapeliwa....huyu Muzamil Katunzi Na Papaa Msoffe Ni Viumbe Hatari Sana Hapa Mjini ..walishawahi Kumliza Muisrael; 2million Dollars...sintashangaa Wakimliza Jack....
Details Za Muzamil ,papaa Msoffe Na Wengine Kwenye Network Yao Zinahitaji Muda Sana Kuzieleza...ni Watu Hatari...sasa Sijui Labda Jack Alitaka Kuwaletea Janja Ya London Wakamua Kumpa Kavu Za Uso...usanii Kwenye Jumba La Sanaa ...

Yaani kati watu wanao weza kutazama mambo katika angles zote wewe peke yako umeongea la maana.
Huyo Muzamil yeye ndio Bonge la TP (tapeli) yaani anaweza kabisa kua amempa changa la macho huyo Ndg.Jack ingawa na yeye anaweza kuwa ndio walewale,si mnakumbuka ile ya Professor Jay(Hip Hop) ya "Bongo DAr es salaam,aliyeuza cheni.....,kapewa hela bandia....na aliyetoa hela kapewa cheni bandia.Alafu mambo yanajiset kwenye mtandao"Sasa ina vyoonekana hapa Jack Pemba kazidiwa maalifa.
Huyu MUzamel walitapeli wote dola 2 millions alafu mwenzie Papa Msofe alipokamatwa yeye kaenda kujificha hata kumtolea dhamana alishindwa sasa sembuse kumtapeli huyo Bwana mdogo JAck na vijisenti..sijui vijipaundi vya mkewe...?
Hayo mambo madogo mji huu...........
Ila kwasasa ana gesi tu tumboni ngoja asahau yote yatasahaulika.
 
Phillimon mikael.
Papa Msoffe ni yule alikuwa akitapeli dola feki pale salamander? alikuwa na yule kijana mrefu mwembamba anafanana na DR.KIDOGA.
 
Phillimon mikael.
Papa Msoffe ni yule alikuwa akitapeli dola feki pale salamander? alikuwa na yule kijana mrefu mwembamba anafanana na DR.KIDOGA.

naam tulikaa naye sana pale SALANADER lakini naweza kukuhakikishia kuwa hiyo department ya DOLA FEKI ilikuwa siyo yake hiyo ilikuwa na wenyewe. Huyu MSOFE katika kaa yangu miaka yote pale sijawahi kumuona hata AKIJA ngazi tano...hiii hata ukimuuliza GEOFREY,KARL LEWIS au LUGANO(alikuwa upande wake ni ule wa juisi na keki)watakuhakikishia. Hiii kazi ya chenji dola infact ilikuwa haifanyiki pale bali pale ndio palikuwa ONE STOP shop kisha unapewa referal uende kule EMPRESS kuna jamaa mtu mzima hivi(jina limenitoka, chini ya OFISI YA BARAZA LA KISWAHILI , pemepeni ya wale wadosi wanaduka la saa na siyo kweli kama pesa zote zilikuwa feki isipokuwa nakubali siku zingine walikuwa wanachanganyiwa mambo.
 
Phillimon mikael.
Papa Msoffe ni yule alikuwa akitapeli dola feki pale salamander? alikuwa na yule kijana mrefu mwembamba anafanana na DR.KIDOGA.

No... Papaa Musofe hafanani na kigoda hata kidogo labda huyu ni mtu mwingine.
 
Wana Ukumbi

Mnanichanganya sasa. Huyu jack ni mtanzania au ana pasi mbili kiujanjaujanja? kaka anayo ya bongo basi nayo itundikeni. wekni mambo hadharani siyo nusu nusu
 
na kashapelekwa mpaka IKULU sasa ukitaka kujia kuwa tumerudi enzi za MWINYI ndio hizi

wauza UNGA na wanaotishia watu na BASTOLA nao wanakaribishwa
 
Baada ya kusoma stori hii kule kwa Michuzi sikuwa nimeifuatilia tena kwa vile simfahamau huyu Jack Pemba na niliichukulia kama swala la mtyu binafsi. Ila baada ya kusoma hapa na kurudi kwenye website yake, kuna swali linakuja akilini mwangu:

"GSB walikuja TZ kujitolea kuinua vipaji vya vijana wetu katika mpira wa miguu. Walianza kwa kutoa mamilion ya pesa kujenga viwanja pale Makongo, na waliiarika timu yetu ya Serengeti boys (ingawa vijana hawafanikiwa) kwenda kujifunza soka huko Uingereza. Sasa hili swala la kutapeliwa dhahabu limeingiaje kwenye shughuli nzima ya uendelezaji wa mpira huko Makongo Sekondari mpaka kumhusisha Col Kipingu ?"

Jamaa hawa walikutana hata na Rasi Kikwete na kujitangaza kuwa wanataka kuendeleza vipaji vya vijana wetu. hakuna mtu aliyejiuliza kuwa faida yao ni nini katika kufanya hivyo bure. Leo ghafla bin vuu - TUMETAPELIWA DHAHABU YA MAMILIONI.
 
Senior members

Jamani mko wapi? Mbona Sijajibiwa? Hivi Jack ana uraia wa nchi mbili? If so, pasi ya bongo itundikwe hadharani.
 
Back
Top Bottom