Hivi issue ya sophia simba na chadema imefikia wap?

CPA

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
809
352
Mwezi uliopita kabla ya habar ya babu kuteka wanahabari n wa tz kiujumla, kulikuwa na issue ya sophia simba kuishutumu chadema inataka kuleta vurugu na uvunjifu wa amani na pia inafadhiliwa na nchi za magharibi. Chadema wakasema wanakusudia kumpeleka sophia simba mahakamani. Tangia hapo nimeona kimya, huo mpango umepotelea hewan au bado wanakusanya ushaidi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom