hivi ingelikuaje?

kingazi

Member
Jul 4, 2011
35
7
unafikiri ingelikuaje kama watu wakifanya tendo la ndoa lile bao linapopatikana lingelikuwa linatoka na mlio kama wa bunduki, usiku ingekuaje?
 
unafikiri ingelikuaje kama watu wakifanya tendo la ndoa lile bao linapopatikana lingelikuwa linatoka na mlio kama wa bunduki, usiku ingekuaje?
Kabla hujajibiwa weka photocopy ya cheti chako cha kuzaliwa hapa chini.
 
kuna vitu vyengine ni utoto ila vinakufanya ucheke, hivi ulifikiria nini wewe mtoto?
 
Back
Top Bottom