Hivi ingekuwa utawwala wa Nyerere = Mwinyi = Mkapa = Kikwete Ingekuwaje?

Kasimba G

JF-Expert Member
Jan 19, 2011
3,428
2,609
Hivi wana JF wenzangu mmeisha wahi kujifikilia kama utawala wa J K Nyerere ungekuwa sawa na Utawala wa A H Mwinyi, na Wa B W Mkapa na wa J M KIwete ingekuwaje? Mimi nadhani hamna mtu angekuwa na uwezo wa kununua hata kikombe cha chai kwa ukata, manaake Familia ya Nyerere isingekuwa haishikiki ukizingatia hali halisi ya elimu wakati huo. Wangebinafsisha kila kitu ikawa mali yao kama familia.

Kwa kweli waTanzania tungevuna mabua tuu mpaka muda huu! Makongoro, Madaraka wangekuwa Marais bila kupingwa, na wangekuwa wamiliki wa kila kitu humu nchini…………………………………………...
………………………………………………………………

Nawasilisha.
 
Na bado hayo hawayaoni wenzetu wameg'ang'ania ohoo Nyerere hakufanya hiki na kile, Je! Mwinyi alifanya nini???????????
 
Liwalo na liwe. Umasikini na ujinga ndivyo vinavyokwqmisha maendeleo wala si hao viongozi.
Wananchi (wenyenchi) ndo wana matatizo vichwani.
Mi silaumu viongozi hata kidogo ila nawapongeza kwa kuchezea akili za wengi vizuri.
 
Back
Top Bottom