Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

hivi ingekua vipi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by tobycow, Apr 28, 2013.

 1. tobycow

  tobycow JF-Expert Member

  #1
  Apr 28, 2013
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  ingekua vipi kama.....

  1.nauli zisingepanda
  2.kila mtu angekua rais
  3.kuoga kusingekuwepo
  4.kufeli kusingekuapo
  5.mume na mke lazima wawe wote bikra
  6.wewe ungekua rais wetu



  ............endelea
   
 2. a

  aduwilly JF-Expert Member

  #2
  Apr 28, 2013
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 1,185
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  yani nchi ya ajabu sana hii, vichaa wanaachwa mtaani wanazurura tu, wakati vitanda vinakosa watu Mirembe
   
 3. A

  Adamawa Senior Member

  #3
  Apr 29, 2013
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 6
  wewe ulie andika thread hii ungekuwa mwanamke
   
 4. wa tarime tanzania

  wa tarime tanzania Senior Member

  #4
  Apr 30, 2013
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 6
  Hivi umeisha kula?
   
 5. P

  Pazi JF-Expert Member

  #5
  Apr 30, 2013
  Joined: Mar 5, 2011
  Messages: 2,544
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 63
  Ungepigwa ban Humu jamiiforum mpaka siku ya uchaguzi mkuu wa taifa Lako unaonaje kwako si itakuwa vizuri?
   
 6. Isaac JK

  Isaac JK JF-Expert Member

  #6
  Apr 30, 2013
  Joined: Oct 16, 2012
  Messages: 562
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  tunapotezeana charge
   
 7. Chakuchambuka

  Chakuchambuka JF-Expert Member

  #7
  Apr 30, 2013
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 344
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hz Ndo hasara za bia za eagle kushuka bei
   
Loading...
Similar Threads Forum Date
Hivi serikali ingekua inaenda hivi ingekuwaje Jamii Photos May 19, 2014
Ingekua vipi! Mahusiano, mapenzi, urafiki May 2, 2014
Yasinge jitokeza mapema kama ingekua hivi Uchaguzi Tanzania Feb 5, 2014
Ingekua vipi kama angekua salma kikwete???????????? Jamii Photos Apr 27, 2012
Duh, ingekua vipi? JF Chit-Chat Feb 2, 2012

Share This Page