Hivi inawezekana kweli?

vkeisy2006

JF-Expert Member
Mar 26, 2010
229
99
Kuna kitu nimeskia nataka nijue kama inawezekana ni hivi Mwanamke anamimba bila kujua kama ni mimba ya mapacha anakwenda kutoa na dokta hampimi anatoa tu na yule mwanamke anaondoka kumbe doctor ametoa mimba ya pacha 1 na nyingine inabaki tumboni je ni kweli ile mimba iliyobaki tumboni inaweza kusurvive na kukua kama kawaida bila tatizo lolote mpka mtoto azaliwe hivi inawezekana kweli jamani....
 
Inawezekana
 
Japo sina utaalamu wa GNC lakini kwani pacha zinakuwa katika mji wa uzazi tofauti? sidhani kama linawezekana hilo Vkeisy
 
If its surgical abortion,its possible though it will be an exceptional case,mtoto anaweza ku-survive kama mama hato-bleed sana after process ya kutoa,hatopata infections kwenye kizazi na mfuko wa uzazi na akiwa hafanyi shughuli ngumu...... na asitoe tena unless ana shida ya kiafya!!!:car::car:
 
Nimekusoma Michelle,
Ila as far as medical expert is concerned, Nasema kuwa haiwezekani.
Ingawa Twins wapo waaina mbali mabli either wanaoshare au wasio share mfuko mmoja. Hata kwa wasio share mfuko mmoja, soon after undergoing abortion kama ni kwa madawa lazima ya-penetrate sehamu zote hizo za nyeti na kama amefanyiwa upasuaji basi ni lazima waliona kuwa yumo na mtoto mwingine,maana yake wasingemwacha na lazima angeondoka akijua hilo.
Pia hata kama wamefanya Upasuaji kuna high risk of infection to the remaining fetus/embryo/baby hivyo doctor hawezi kuruhusu hiyo kitu ifanyike kwa kumwacha mhusika.
Hapa mimi naweza kuhisi kuwa kuna usanii uliofanyika hapo:
1. Walifanya abortion na inawezekana mtoto alikuwa ni mkubwa
2.walithani contents zote zimetoka kumbe bahati mbaya zilibaki
3. kwa kuona aibu wame-propose kuwa alikuwa na mapacha ili wasishitakiwe au kupoteza wateja kwa huduma mbovu
hii tuna ita medical malpractice or medical tangle( which can be inteded or done without willing)
If its surgical abortion,its possible though it will be an exceptional case,mtoto anaweza ku-survive kama mama hato-bleed sana after process ya kutoa,hatopata infections kwenye kizazi na mfuko wa uzazi na akiwa hafanyi shughuli ngumu...... na asitoe tena unless ana shida ya kiafya!!!:car::car:
 
Haiwezekani kabisa,labda wawe ni wale mapacha ambao wako tofauti.
 
images
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom