Hivi inakwaje watoto wadogo wanakuwa na madharau?

Viol

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
25,426
18,228
Kuna watoto wadogo kama umri wa miaka 3 au 4 hivi,unakuta anafanya kitu halafu ukimwambia aache,hata umwambie kwa
ukali ye haachi,mfano unamwambia "tupa ulichoshika"unakuta anakuangalia tu au anasmile,wakati we unampigia kelele kwa nguvu,mara anatokea mama yake,anamwangalia machoni na kumkazia macho halafu anamwambia "tupa hicho kitu"halafu kweli anatupa.
sasa mi nauliza hawa watoto inakwaje wanacheza na akili za watu flani flani?au wanasoma saikolojia ya mtu?sijui inakwaje kwaje halafu ukiangalia bado ni wadogo sana.
 
Watoto ni viumbe wenye akili sana, wanasoma sana saikolojia ya mtu

Kweli wana akili sana,halafu mi nishawahi kumchapa mmoja,nilidhani nikimchapa mara moja ataniheshimu,but kilichotokea
siku nyingine yaani nikimkatazaa kitu ye bado ataendelea,halafu akiona hasira zangi zinapanda anaanza kuacha,
hahaha sasa ndo nashangaa sijui wanajuaje hata mood uliyokuwa nayo
 
Alafu kuna wakati watoto hua wanafanya Test , ili waone result itakua nini !
Mf. Glass au delicate items iko mezani anapoweza kufikia (namzungumzia mtoto alieanza kudema kwa msaada wa kudema huku akisapotiwa ama na viti au ukuta n.k)
Anapoifikia glass au Redio , hafiki na kuichukua au kuisukuma ianguke, na anajua unamuangalia.
Ataigusa kwanza, hapo anadash ataiachia, anasikilizia reaction akisikia kemeo "achaa"
anaacha akijua hapa sipo, akiona amegusa kitu then silency kinachofata ama ataki'push hicho kitu kianguke au atajaribu kukitwaa ambapo mara kadhaa utakuta hicho kitu kimemuelemea uzito na kinaanguka.
 
Judgment kweli wanafanya test,halafu unakuta hata hawajaanza kutembea lakini wanakuwa na akili sana,
au unakuta anakupima je utamfanyaje,sasa tatizo linakuja kuna wengine wanaangalia macho ya watu
 
Kuna hao wengine ukiwakataza kitu au kuwakemea ndio wanaanza kulia mpaka inakuwa kero...
 
hahaha sasa si utuambie kwanini inakuwa hivo?mbona akitishiwa hata na mtu wa kawaida anakuwa haogopi

Kwasababu wanajua mama knows best. Wengine wanaona kama wanawazingua tu.

Ila kiukweli ni kwamba inatokana na mazoea, tangu wanapoanza utundu utundu wanakua wamezoea mtu au watu fulani fulani kuwaambia waache hivi au vile. Na huyo/hao ndio wanaokua na authority zaidi kwa huyo mtoto nae anajenga heshima kwao. Sasa akija mgeni nae akajifanya "acha, acha" wanamuona kama anawachezea tu na wao wanaishia kumchezea vile vile.
 
wanawake na watoto akili
zenu zinafanana, siku zote mnafanya mambo ya dharau ku-test tu, mkipewa
kibano mnaelewa.

Kwa mama yako wewe bado ni mtoto,vp akili zenu bado zinafanana au? Next time fikiria kwanza kabla hujaandika.
 
sasa sijui hapo anakukomoa au ndo nini

Excellent, ulishawahi ipata story ama kisa cha mtoto aliyekua akitembea na Baba yake mitaani kila anachokiona anakililia na Babaake anamnunulia!
Pamoja na baadhi ya watu kumuasa Baba huyo kua afanyavyo mahaba na mwanae si sawa, mapenzi kupitiliza.
Baba yule masikio pamba!
Siku ya siku mtoto akaja kulilia Mwezi (moon)
hapo ndo ikawa shughuli pevu!
 
Last edited by a moderator:
Kwa mama yako wewe bado ni mtoto,vp akili zenu bado zinafanana au? Next time fikiria kwanza kabla hujaandika.

kwani hujui kama wanawake huwa wanatabia ya kujaribu kitu, akiona mchekea anageuza tabia. Angalia wanaosumbua waume zao huwa wanaanzaje, kama siyo kwa ku-test kama watoto?
 
Kuna watoto wengine wana hisia kali sana, hata kama wamelala chumba cha pili, mkianza ku do tu mnamskia analia na hanyamazi mpaka umwachie mamaake. Wanauzi ajabu
 
Kulea kazi kuna wenyewe. mtoto huyo huyo anaweza kuaibisha mkubwa mwingine akija anafyata mkia!
 
Back
Top Bottom