Hivi inakuwaje gari ya rais inachomoka tairi?

chupaku tatizo ni kuwa hawezi kuwafukuza sababu sio yeye aliyewaweka hapo!

This is totally unacceptable! Hata kwenye movie huwa haiwi hivyo. Huu si mchezo wa kuigiza, these people must be held accountable, kama wanakagua viti itakuwa magari? Au ndio nao huwa wanatazama fuel ipo full tank basi wanang'oa. Mimi wala nisingechunguza, ningewashughulikia tu, fault ktk gari ya president must be reduced to a minimal au zusiwepo kabisa. Hayo mambo ya magari ya sijui wapi, yanakuwaga na faulty, ni kawaida, sielewi. Bahati yenu sipo huko jikoni
 
this is so awkward. someone has to be responsible.
Kwa hapa kwetu sidhani kama kati ya wahusika kuna anayeona kuwa hili ni jambo.... nadhani wameshaamua kuwa lilikuwa ni jambo la bahati mbaya na kila kitu sasa kinaendelea kama kawaida
 
Wananchi walitakiwa kumzomea JK na sio watendaji wa DAWASCO na DAWASA kwani yeye ndiye mwenye majibu yote! Nilimsikia kwenye TV anasema watu ni wengi kuliko rasilimali maji hivyo wavumilie mpaka 2013 maji yatamfikia kila mtu na shida kuisha. Maswali: wale wa Kimara waendelee kuoga mara moja au mara tatu kwa wiki mpaka 2013? Magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu yaendelee mpaka 2013? Je mpango wa muda mfupi wa kuondoa kero hizo kabla ya 2013 upo na ni upi? Hao madiwani hawakupeleka hizo kero katika ngazi husika mpaka atembelee rais? Hivi hii tovuti www.wananchi.go.tz JK na watendaji wake wanaitembelea kweli? Hivi rais anapokea kero kwa njia hii au kuna njia nyingine? JK anawakandamiza watendaji wake ili aonekane yeye safi kumbe la! Mzee Ruksa alipokuwa anaendea kombo alianzisha utaratibu wa kusikiliza kero kutoka kwa wananchi moja kwa moja, na huyu naye ameanza style kama ya Mzee Ruksa (ambaye hajui maana ya rushwa) vile!
 
bongo kila siku vituko tu,kuanzia rais mpaka na raia wake ni mizaha mizaha tu,usishangae mda huu kuna wataalam toka bagamoyo ikulu WANAPIGA MANYANGA,nani mbaya wa rais.
 
Ama kweli kuna watu duniani, Hivi kweli gari kupata pancha ya kawaida unahitaji breakdown? Jana nimeiona hiyo V8 dark blue hata rim haipo tairi la nyuma kulia -pale BP/ opposite Malawi Cargo halafu msemaji wa Ikulu anasema pancha ya kawaida ! Halafu tunazungumzia V8 brand new !
 
Acheni kusupport vitu vya ajabu. Hivi within 30 Kilomitres breakdown mbili kwa magari mawili tofauti tunaona ni jambo la kawaida tu? Labda mimi ndiyo nina matatizo kuona hapo kuna tatizo.

Hivi ni magari mawili tofauti au gari moja? Je sio gari moja kwanza lilizimika, halafu wakati dereva analitoa barabarani baada ya JK kushuka na kupanda gari jingine na kuendelea na msafara lile lilozimika likachomoka tairi la mbele au nyuma? Au hii habari haijakaa vizuri? Gazeti la Majira, ukurasa wa mbele chini (25/05/2010) wameonesha picha ya gari hilo likiwa halina tairi la nyuma kulia; lakini cha ajabu lina namba za usajili T 271 BHC. Kwenye gazeti la Mwananchi ukurasa wa pili (25 Mei 2010) kuna picha ambayo inaonesha gari lenye ngao kwenye 'number plate' sasa sijui ndio wakati JK anahamia kwenye hilo au ndio lilikuwa limezimika?! Maswali zaidi: je rais anatumia gari binafsi kwenye shughuli za kikazi? Je hili la binafsi ni gari la nani? Je mwenye ili gari la binafsi analipwa kwani ni kama limekodishwa? Au la mshikaji wake wa karibu amelitoa bure? Je Ikulu hakuna magari ya kutosha? Yale ma BMW yamekwenda wapi? Wanausalama hawakuangalia number plate? JK uwe unaangalia mwenyewe number plate kabla ya kuingia kwani magari mengine wala si ya Ikulu. Je yawezekana hili la binafsi lilikwisha setiwa gereji kwa ajili ya kumtenda JK?! Nafikiri tatizo hili sio la TOYOTA kwa jinsi lilivyokaa - gari binafsi!!!!!
 
nitamshangaa sana ..mtu atakayeona kuwa tukio la jana ni la kawaida....hapo ni Mungu tu amesaidia!!!...it was beyond normal ..in such a short interval ...magari mawili yanaharibika!!....tena angalieni picha ya gari la pili vema ....hadi chuma kinachoshika tairi na brake drum kimemeguka vipande...hata barabara iwe mbaya huwa hakimegukagi???

ukiangalia historia ya majanga yanayompata Jk ni wazi ana maadui wengi ...wanaomchekea usoni...kama na yeye anavyowachekea...wanachekeana huku wanatafutana!!!!

sasa kwa kuwa hatuwezi sema that is super natural ..ni wazi kuwa Mkurugenzi wa usalama ..anatakiwa afanye enquiry ya haraka ...kuhusu ..utaratibu mzima wa ununuzi,na utunzaji wa magari ya rais..ikiwemo ufundi na vipuri vinavyotumika........kule uganda ..gari la museveni lilipata short ya umeme likaungua ....kikosi kizima cha ulinzi wa rais kikavunjwa ..kikawekewa uongozi mpya chini ya kanali muhoozi kainerugaba...sio suala dogo hata kidogo.....

......inaonekana kamati binafsi ya ufundi ya rais inafanya kazi kweli...jiulizeni ...aligutukaje kuwa tairi la excel itakatika...fikiria amechuka tu ..kusogea pembeni likakatika na kuchomoka doro!....na gari haikuwa na dalili yeyote ya tairi kukata viuno ....kama tunavyojuwa dalili kuu ya tairi inayochomoka.....ni wazi pia jk ana machalle!!!

...Mungu amlinde!!...

Jamani ni moja au mawili? Kama ni moja basi matukio mawili kwenye lile la binafsi. Kama ni mawili basi tukio moja kwenye lile la binafsi na la pili kwenye lile la Ikulu!! Wanausalama wa taifa hamna kitu, kama Mzee Ruksa alikula kibao ijekuwa JK. Kali zaidi nafikiri hiko jikoni inakuja kama hatamfukuza mkuu wa jiko!!!!!!!!
 
Hivi ni magari mawili tofauti au gari moja? Je sio gari moja kwanza lilizimika, halafu wakati dereva analitoa barabarani baada ya JK kushuka na kupanda gari jingine na kuendelea na msafara lile lilozimika likachomoka tairi la mbele au nyuma? Au hii habari haijakaa vizuri? Gazeti la Majira, ukurasa wa mbele chini (25/05/2010) wameonesha picha ya gari hilo likiwa halina tairi la nyuma kulia; lakini cha ajabu lina namba za usajili T 271 BHC. Kwenye gazeti la Mwananchi ukurasa wa pili (25 Mei 2010) kuna picha ambayo inaonesha gari lenye ngao kwenye 'number plate' sasa sijui ndio wakati JK anahamia kwenye hilo au ndio lilikuwa limezimika?! Maswali zaidi: je rais anatumia gari binafsi kwenye shughuli za kikazi? Je hili la binafsi ni gari la nani? Je mwenye ili gari la binafsi analipwa kwani ni kama limekodishwa? Au la mshikaji wake wa karibu amelitoa bure? Je Ikulu hakuna magari ya kutosha? Yale ma BMW yamekwenda wapi? Wanausalama hawakuangalia number plate? JK uwe unaangalia mwenyewe number plate kabla ya kuingia kwani magari mengine wala si ya Ikulu. Je yawezekana hili la binafsi lilikwisha setiwa gereji kwa ajili ya kumtenda JK?! Nafikiri tatizo hili sio la TOYOTA kwa jinsi lilivyokaa - gari binafsi!!!!!
AISEE!! Yani twaweza chomekwa vidole sehemu mbaya tukasema wamekosea tu ni jambo la kawaida.
At times tunasema nchi yetu salama lakini it's an illusion soon to be shattered.
 
Guys don't be shallow!! JAMBO LA KAWAIDA kwa misingi ipi?? Hakuna hata siku moja nimeshawahi kupakia gari na TAIRI KUCHOMOKA na sijawahi pakia gari jipya au lenye sifa za uimara kama hizo vx v8!!
Watanzania lazima tunalaana si bure!!!
Gari ya kwanza aliyopakia raisi gia zilikataa kuingia (the last time I experinced this was in a landrover 109 ya mwaka 78) wakamtoa na kumuingiza kwenye ingine ambayo ikachomoka tairi, and some people think NI JAMBO LA KAWAIDA!!!
Dah and I thought JF ndio atleast kuna mchujo wa wenye akili kidogo from the rest, sasa wadanganyika wengine je!!

Umesema sawa kabisa mediocre minds wataona hili ni jambo la kawaida.
THIS IS A SERIOUS BREACH OF THE PRESIDENTS SECURITY DETAIL, BIG TIME!!
Tunaona sote msafara wa Rais ukipelekwa maspidi katika ziara zake hata hapa DSM.
Nawaachia imaginations zenu tairi lingechomoka wakati wa maspidi hayo.
Something is not right here
1.gari mpya na imara 4x4 Landcuiser
2.gari mbili katika msafari wa Rais zinapata hitilafu za kumshusha Rais kwenye hizo gari(suala lisilokubalika akilini)
3.usalama wenyewe wa Rais uko wapi kama haya yanaweza kutokea

Are we taking the Presidents security as a laissez affaire issue?
I cant imagine kikitokea cha kutokea, Mungu Ibariki Tanzania
 
Hivi ni magari mawili tofauti au gari moja? Je sio gari moja kwanza lilizimika, halafu wakati dereva analitoa barabarani baada ya JK kushuka na kupanda gari jingine na kuendelea na msafara lile lilozimika likachomoka tairi la mbele au nyuma? Au hii habari haijakaa vizuri? Gazeti la Majira, ukurasa wa mbele chini (25/05/2010) wameonesha picha ya gari hilo likiwa halina tairi la nyuma kulia; lakini cha ajabu lina namba za usajili T 271 BHC. Kwenye gazeti la Mwananchi ukurasa wa pili (25 Mei 2010) kuna picha ambayo inaonesha gari lenye ngao kwenye 'number plate' sasa sijui ndio wakati JK anahamia kwenye hilo au ndio lilikuwa limezimika?! Maswali zaidi: je rais anatumia gari binafsi kwenye shughuli za kikazi? Je hili la binafsi ni gari la nani? Je mwenye ili gari la binafsi analipwa kwani ni kama limekodishwa? Au la mshikaji wake wa karibu amelitoa bure? Je Ikulu hakuna magari ya kutosha? Yale ma BMW yamekwenda wapi? Wanausalama hawakuangalia number plate? JK uwe unaangalia mwenyewe number plate kabla ya kuingia kwani magari mengine wala si ya Ikulu. Je yawezekana hili la binafsi lilikwisha setiwa gereji kwa ajili ya kumtenda JK?! Nafikiri tatizo hili sio la TOYOTA kwa jinsi lilivyokaa - gari binafsi!!!!!

kaka upo gizani ..bado lakini usijali ...ukishakaa muda hapa yote hayo utayajuwa tu mwenyewe....tembelea pia kule jamii intelligence upate mamboz!!!
 
Hivi hazifanyiwi ukaguzi,au kulikuwa na mkono wa mtu?,jana rais JK ziarani dar,alibadilishiwa gari mara mbili,baada ya gari ya pili kubadilishwa ilitembea kidogo na kuchomoka tairi
Matairi ya nchi yetu vipi hayajachomoka kweli! Sasa ije iwe gari?
 
Wangwe.. tuliambiwa imechomoka tairi na hawakutaka kuamini inaweza kuwa ni ajali tu ya kawaida...

Mimi mmojawapo kwani magari huwa hayachomoki matairi kirahisi rahisi hivyo! Vinginevyo sisi tunaokesha kwenye mafreeway na kwenda at 140 KM/H ingekuwa kila siku inatokea hivyo.. as a matter of fact naweza kumuuliza mtu yeyote ambaye amewahi kusikia matukio ya gari kuchomoka matairi.

... nakumbuka la Mwakyembe pia lilichomoka tairi.. why ni haya ya viongozi?

chomoka tairi ni kitu ya kawaida ndio maana ikaitwa ajari, gari ikiamua kuchomoka tairi hata ukiwa upo kwenye kasi 50km/h inachomoka. MV BUKOBA ilizama ktk staili ambayo meli huwa hazizami lakini yenyewe ilichagua kuzama hivyo.
 
Au hilo T 271 BHC ni la kwake mwenyewe au Salma kwani hana imani tena na yale ya Ikulu?
 
Tuache kukuza mambo jamani. Hata ukiwa unacheki gari ya Rais kwa kiwango gani, bado huwezi kuondoa possibility ya gari kukorofisha. Hizo ni mashine tu jamani......!!

Binafsi naamini hii kitu inaweza kutokea, na ndo maana kwenye misafara ya Rais kunakuwa na gari ya dharula ili ikitokea gari anayotumia imekorofisha Rais anahamia kwenye gari nyingine na safari iinaendelea!!!
Brooklyn

Try to be serious sometimes kuna vitu vingine havihitaji excuse ukikuta jamaa katembea na mke wako ukasema ni mambo ya kawaida tu kwa vile wengi hufanya hivyo utaonekana juha. Someone has to be responsible lakini kwa akili za watanzania tutaona ni kitu cha kawaida wakati kuna watu wanalipwa kulikagua gari la rais zaidi ya mishahara wanayopokea waalimu.
 
chomoka tairi ni kitu ya kawaida ndio maana ikaitwa ajari, gari ikiamua kuchomoka tairi hata ukiwa upo kwenye kasi 50km/h inachomoka. MV BUKOBA ilizama ktk staili ambayo meli huwa hazizami lakini yenyewe ilichagua kuzama hivyo.

MkamaP nadhani bado upo kwenye ile zama za Mungu kapenda,
ki ukweli ajali nyingi ni za uzembe, nasema nyingi ni za uzembe nikizitoa zile ajali ambazo second part ndio anakusababishia,

gari kama ya raisi sidhani kama anaweza kufanya msafara bila kuwa na hizi zifuatazo

1) Risk Assessment
hapa nilazime wale wanaoongoza msafara wa raisi wawe wanajua wanaenda wapi ?, condition ya barabara ikoje, msongamao wa watu ukoje?, na ni speed gani itumike kwa kila kipande kutokana na mazingira husika, na hili kuepuka na ajali zitakazo sababishwa na second part, basi watu wa UWT na litengo chao cha Trafic wanakuwa na kazi ya kusafisha barbara yote.

2) Hazard identification and Action taked to reduce the Risk
Hapo lazima viashiria vyote vya hatari viwekwe wazi na solution yake ipatikane, orbvious viko vingi,

kwa msafara huo wa raisi miongoni mwa hazard zilizokuwepo ni HILO GARI LENYEWE, NA KUREDUCE HIYO HAZARD NI LAZIMA KUWE NA PRE START CHECK, uwezi kuniconvence kuwa raisi mwenyewe ndio anafanyaga ukaguzi wa gari lake kama liko sawa, nina uhakika kuna kitengo cha UWT kinachohusiana na usafirishaji na mambo kama hayo, hao ndio wako responsible na pre start check na maintanance ya hilo gari,
kwa hiyo ajali kutokea ni uzembe mkubwa usioweza kupingika, hapo lazima kuna mtu hajafanya kazi yake au ilikuwa ni suicide mission,
 
Kwenye red, it might be true kwa sababu si kitu cha kawaida rais kubadili magari mara mbili kwa sababu ya ubovu, ajue anazungukwa na maadui wengi tunaweza kuanza kuoanisha vinyongo vya EL vinaanza kufanya kazi.
 
Matairi ya nchi yetu vipi hayajachomoka kweli! Sasa ije iwe gari?

Lile tu la maendeleo (ndio la nchi nafikiri) ambalo jamaa wawili walikuwa wakisukuma na kuvuta kwenye kilima, lilikwisha washida na kuliachia na kupolomoka mapaka chini kabisa!
 
kaka upo gizani ..bado lakini usijali ...ukishakaa muda hapa yote hayo utayajuwa tu mwenyewe....tembelea pia kule jamii intelligence upate mamboz!!!

Una uhakika kuwa mimi nipo gizani? Wewe mwanga umeupata huko kwenye forum ya intelligence?
 
Kama ni gari moja basi TOYOTA watakuwa wamemwokoa kwani yawezekana 'nuts' za matairi ya gari yakilegea gari lina'sense' na kuzimika!!! Maanake magari ya siku hizi kwa ku-sense kama ndege!!
 
Back
Top Bottom