Hivi inakuaje?

TihZ

Senior Member
Jul 31, 2012
158
26
Nimepata matatizo sana katika mahusiano lakini huwa napotezea sasa sijui ni nini tatizo wengine wananiambia nitampata atakayenipenda ila mpaka lini au tatizo sina hela kama ni hivyo sisi masikini hatuna haki katika mapenzi jamani wadada mtatuua
 
Aiseee..

Kwani wewe wataka uwe vp ili umiliki kifaa..
 
Nimepata matatizo sana katika mahusiano lakini huwa napotezea sasa sijui ni nini tatizo wengine wananiambia nitampata atakayenipenda ila mpaka lini au tatizo sina hela kama ni hivyo sisi masikini hatuna haki katika mapenzi jamani wadada mtatuua
hahahhahahahah umenifurahisha sana mtoa madaa, me nachoota mbona unajiua mwenye?
kuwa mvumilivu ikibidi kaa bila demu utafika tu muda wa wewe kupata mwenzi tena shukuru sana wanakuumiza wanasepa imagine ndio umeoa halaf ndio anakuumiza, Mungu atakupa mana mke mwema anatoka kwake, be patient man
 
kijana money cnt buy u love but it can certainly facilitate the process of finding love. sasa wewe tulizana hakikisha unajua demu wa namna gani wataka basi ukipata mkwanja options zinaongezeka na hivyo kukupa wewe uwezekano mkubwa wakumpata unayempenda na atakayekupenda
 
Kama umestukia tatizo ni kutokuwa na hela, basi fanya bidii na ww uziotee. Ila kwenye mapenzi, the less the money the better!
 
labda huna pesa halafu una mabobishi sana.........namaanisha....kuna wanaume hawana hata kumi.....lakini atajidai anasukuma hammer.....yeye kwao ndio sijui Masaki........au Njiro.......yeye hana shida ndogo ndogo........mtu wa hivi wanawake huwa tunacheza nae kama toy.....
 
Taratibu basi usituanike bana, hizo lugha zetu. Watu tuna-push hammer, baba yangu anaitwa National Housing a.k a Msajili wa majumba. Watu tunakaa Oyistabayi...chezea sisi weye..!.
 
hahahhahahahah umenifurahisha sana mtoa madaa, me nachoota mbona unajiua mwenye?
kuwa mvumilivu ikibidi kaa bila demu utafika tu muda wa wewe kupata mwenzi tena shukuru sana wanakuumiza wanasepa imagine ndio umeoa halaf ndio anakuumiza, Mungu atakupa mana mke mwema anatoka kwake, be patient man

thanx ushauri wako nitaufanyia kazi
 
Back
Top Bottom