Hivi ili upate mkopo chuo kikuu ni lazima ufunge account benk fulani?

ABEL NESTORY

Member
Oct 12, 2012
43
34
habari zenu naomba mnisaidie je hivi ili upate mkopo katika chuo ni lazima ufungue account katika bank fulani? au je mikopo ya wanafunzi inawahi kuingia katika bank gani maana nimesikia watu wakisema kuwa ni lazima ufungue account katika bank fulani ndyo unapato mkopo haraka
 
Hapana ni bank yoyote ile. Ninachofahamu ni pesa zinatoka bodi ya mikopo zinakwenda direct chuo,na ndio chuo wanaingiza kwenye account za wanafunzi. Unless utaratibu uwe umebadilika. Ninachofahamu kwa experience yangu ndogo,mikopo inawai bank 2 ambazo ni NMB na CRDB.
 
habari zenu naomba mnisaidie je hivi ili upate mkopo katika chuo ni lazima ufungue account katika bank fulani? au je mikopo ya wanafunzi inawahi kuingia katika bank gani maana nimesikia watu wakisema kuwa ni lazima ufungue account katika bank fulani ndyo unapato mkopo haraka

iyo ipo SAUT tu...account lazima iwe ya crdb
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom