Hivi ile muvi ya Kova kumhusu yule chizi wa Kenya imeishia wapi?

Mystery

JF-Expert Member
Mar 8, 2012
15,483
30,155
Nakumbuka kamanda wa polisi wa kanda maalum ya kipolisi ya jiji la Dar, Suleiman Kova, alijitokeza mwezi wa saba mwaka huu na kulifahamisha Taifa kuwa wamemkamata mtu mmoja [chizi] toka Kenya, kuwa ndiye mtuhumiwa wa kumteka Dr Ulimboka, ambaye alidai wamemkamata kanisani Kawe kwa mchungaji Gwajima, ambako alienda huko kwa lemgo la kutubu, kutokana na tendo la kumteka Dr Ulimboka, Nakumbuka pia mtu huyo alifikishwa mahakamani Kisutu mara moja au mbili, kwa usiri mkubwa, kiasi ambacho hata waandishi mahiri, walishindwa kupata hata picha yake! Sasa baada ya mbunge Sugu kutamka bungeni kuwa ile muvi ya Kova imeshindwa kuuzika kwa wananchi, akamsihi Kova arejee studio ili akaandae Muvi nyingine mpya, na akaendelea kumsihi kuwa safari hii aandae Muvi nnzuri itakayouzika kwa wananchi. Tokea Sugu atoe tamko hilo, sijasikia tena mtuhumiwa huyo wa Dr Ulimboka akifikishwa mahakamani, sasa swali ninalomuuliza Kova, je amefuata ushauri wa Sugu, na hivi sasa yupo studio anaandaa Muvi mpya ya Ulimboka??!!
 
Labda anafanya "Editing" baada ya Ulli kurudi
 
kwani ya jairo na zito kutuhumiwa rushwa yaliishia wapi? litapita tu hilo
 
Back
Top Bottom