Hivi ile kesi ya mauaji ya pale nyumba za mawaziri makumbusho imeishia wapi?

TabletFellow

JF-Expert Member
May 17, 2011
918
272
Wakuu sorry kuuliza

KUna waziri mmoja (wakati huo) mtoto wake aliua live na picha zikabandikwa, tena waliteka nyara kabla ya kuua.... nijuavyo mimi ile kesi ilihusisha dhuluma,

Naomba mwenye updates jamani, kwani kuna kila dalili yule mama mhusika wa shughuli ile, anaendeleza dhuluma mno kama vile kule kuua kulichochea rasmi dhuluma
 
Back
Top Bottom