Hivi ikitokea jambo hili..... ni lazima mapenzi yavunjwe?

familia yenu ina pepo wangono kwa msaada zaidi tafuta kanisa mkaombewe au kama ni waislam mtafute sheikh kabla hatujawatafuta na kuitimiza sharia.
 
Haya mambo ya INASEMEKANA mie huwa siyapi uzito! Hata kama ni kweli walikuwa na mahusiano inauhusiano gani na mapenzi yenu kuvunjika?Kama mume hana tatizo na anakupenda achana nao, endelea na maisha yako
 
Hayo yanawahusu nini wewe na mwenzako?
Kosa la mama yako na dada yako litumike kukuhukumu wewe?
Kosa la kaka wa bwana ako litumike kumuhukumu bwana ako? endelezeni penzi lenu
 
kwa yeye ni ngumu kumtolea mama ake ushahidi wa hivo ila jambo hilo ni la ukweli
 
Hayo yanawahusu nini wewe na mwenzako?
Kosa la mama yako na dada yako litumike kukuhukumu wewe?
Kosa la kaka wa bwana ako litumike kumuhukumu bwana ako? endelezeni penzi lenu

hata mi imenidissapoint kwakweli mtu kubebeshwa msalaba usio wake
 
ata mie nasepa...maana inaelekea mama na watoto wote watakuwa wapenda dushelele sasa ya nini kugoja mpaka yakukute if u cn extricate urself from calamity thats abt to unfold
 
Ingekuwa mama na dada yako waliliwa na mmeo mtarajiwa sawa. Nyie kama mwapendana songeni mbele.
 
Ngumu kumeza hapa..yaani dada na mama wa gf wangu watembee na baba mdogo wangu!!!..halaf bado mnaniambia niendelee na gf wangu?..hamwezi kuwa hamjalewa aiseee!!
 
Avumilie tu, ukoo wenu si ndio ulivyo. Ndio maana hata juzi kati ulikuwa unasapoti yule binti anayembea na baba yake asamehewe, na nikatoa angalizo kuwa hata na wewe una elements hizo sasa leo umejileta mwenyewe.

Haya mambo ya kuanduana hovyo kama mbuzi hayajifichi yakiwapo kwenye ukoo, hata kwa maongezi yenu tu wenye ufahamu wa vijitu corrupt tunawatambua.

Cha kufanya na wewe tembea na baba yake, halafu mwambie mama mkwe wako atembee na baba yako, kisha wewe utembee na mjombaake hawara yako
 
Watembezane wengine, uachane wewe?
Wakati tayari una mtoto naye, na wewe inakuingia?

Kwani hao wanaosema wao ni akina nani hapa duniani?

Ukishikwa shikilia, ukibebwa kunja miguu, naona unataka buruza miguu yako ushushwe mgongoni
 
Endelea naye kuachana naye mbona AIHUSU BABU!!!!!!!!!!1
Kama ni laana ingewapata hao waliochangia bwana mmoja (mama na dada yako)
Hebu endelea kula maisha kwa raha zako.
 
Ngumu kumeza hapa..yaani dada na mama wa gf wangu watembee na baba mdogo wangu!!!..halaf bado mnaniambia niendelee na gf wangu?..hamwezi kuwa hamjalewa aiseee!!

sio ba mdogo, wametembea na kaka ako
 
Avumilie tu, ukoo wenu si ndio ulivyo. Ndio maana hata juzi kati ulikuwa unasapoti yule binti anayembea na baba yake asamehewe, na nikatoa angalizo kuwa hata na wewe una elements hizo sasa leo umejileta mwenyewe.

Haya mambo ya kuanduana hovyo kama mbuzi hayajifichi yakiwapo kwenye ukoo, hata kwa maongezi yenu tu wenye ufahamu wa vijitu corrupt tunawatambua.

Cha kufanya na wewe tembea na baba yake, halafu mwambie mama mkwe wako atembee na baba yako, kisha wewe utembee na mjombaake hawara yako

a e i o u....hope umejua kusoma haya rudi kasome story afu uje upya,usirudie kukurupuka
 
Back
Top Bottom