Hivi ikikutokea wewe utafanyaje?????!!!!!!!!

KIBURUDISHO

JF-Expert Member
Mar 28, 2011
1,002
274
Wana wa familia ya JF mambo vipi?.Hii ni kwa jisia zote ME na KE.
Mko chumbani usiku mmepumzika kila mmoja akiwa anamuahidi mwenzie ahadi tamu tamu juu ya kulitunza na kulienzi penzi lenu na ahadi nyingi za kufarijiana, pembeni yenu mezani mkiwa mmefungulia redio kwa sauti ya kadri na kipindi kilicho hewani kwa wakati huo ni cha LOVE NIGHT cha kutakiana njozi njema na kheri katika mahusiano ya mapenzi.Mkiwa mmelala japo si usingizi huku mmekumbatiana mara unasikia kwenye redio mtangazaji anasoma ujumbe wa fulani bin fulani wa sehemu fulani anafanya kazi katika kampuni/shirika fulani akisema namtakia njozi njema mpenzi/mchumba wangu fulani akiwa sehemu fulani namwambia nampenda sana mwezi wa 5 tutaitwa mke na mume.Kama ni wewe likikupata hilo utachukua uamuzi gani
 
....hamadi kibindoni bana, mwache atume salamu mpaka amalize kadi, miguu ishamuelekea huyo!
 
Hahahaha. . unampa hongera alafu kesho asubuhi unamwachia kiNOTE cha kumtakia kila la kheri na maisha ya ndoa yanayomsubiria.
 
Hata ka unampenda sana dearest??
Michelle dear, hata kama unampenda, ikwa yeye hakupendi au hana mpango nawe kwa maisha ya baadae, mwache aende, si wako huyo. Bado unapaswa kumshukuru Mungu kwa wema aliokufanyia.
 
Inabidi nimuulize moyo wake yeye uko wapi maana kulala nae na kupeana ahadi kemkem haimaanishi anakupenda/unampenda bali ni matamanio ya miili yetu tu! Upendo upo hautafutwi, ukiitafuta matokeo yake ndo hayo mwenzio anasalimiwa redioni!
 
Hata ka unampenda sana dearest??

Dearest kama nampenda na mimi napewa ahadi hewa na mwingine ndio huyo kashatangaziwa ndoa unadhani ntafanya nini?Bora kujiondoa kuliko kuondolewa aisee....maumivu yataisha mbele kwa mbale, labda anitafute kuniambia sio kweli kuna mtu anamvizngua na iwe hivyo kweli ndio ntamuelewa.
 
Wana wa familia ya JF mambo vipi?.Hii ni kwa jisia zote ME na KE.
Mko chumbani usiku mmepumzika kila mmoja akiwa anamuahidi mwenzie ahadi tamu tamu juu ya kulitunza na kulienzi penzi lenu na ahadi nyingi za kufarijiana, pembeni yenu mezani mkiwa mmefungulia redio kwa sauti ya kadri na kipindi kilicho hewani kwa wakati huo ni cha LOVE NIGHT cha kutakiana njozi njema na kheri katika mahusiano ya mapenzi.Mkiwa mmelala japo si usingizi huku mmekumbatiana mara unasikia kwenye redio mtangazaji anasoma ujumbe wa fulani bin fulani wa sehemu fulani anafanya kazi katika kampuni/shirika fulani akisema namtakia njozi njema mpenzi/mchumba wangu fulani akiwa sehemu fulani namwambia nampenda sana mwezi wa 5 tutaitwa mke na mume.Kama ni wewe likikupata hilo utachukua uamuzi gani

Jino kwa jino!
Palepale nitachukua cm yangu na kutuma ujumbe redioni nikimtakia njozi njema huyo niliye naye ili alotuma asikie na abadilishe mawazo ili mimi niendelee kufaidi. ..... HAINAGA MAKOMBO!
 
Dah!kwa sasa siwezi sema nn nitafanya usiku huo,but naimajin hayo maumivu!
Labda yakinikuta hope ni roho mtakatifu pekee atakayeniongoza nn cha kufanya!
 
itabidi tu uendelee na maisha yako maan a hata ukisema ufanye nini mtu kaamua u cant force
 
Tutor B, BRAVOOO!!!! ubaya ubaya tu, kama jamaa anaigiza shauri yake, maana kuna mijitu midomo gundi mbele ya mademu, wanategemea vyombo na vipindi kama hivyo kuwapiga tafu!! Na siku hiyo kamilisha kazi kwa bidii na maarifa mpaka akulilie tena ndipo umkumbushe kuna mtu anakutakia njozi njema
 
Wana wa familia ya JF mambo vipi?.Hii ni kwa jisia zote ME na KE.
Mko chumbani usiku mmepumzika kila mmoja akiwa anamuahidi mwenzie ahadi tamu tamu juu ya kulitunza na kulienzi penzi lenu na ahadi nyingi za kufarijiana, pembeni yenu mezani mkiwa mmefungulia redio kwa sauti ya kadri na kipindi kilicho hewani kwa wakati huo ni cha LOVE NIGHT cha kutakiana njozi njema na kheri katika mahusiano ya mapenzi.Mkiwa mmelala japo si usingizi huku mmekumbatiana mara unasikia kwenye redio mtangazaji anasoma ujumbe wa fulani bin fulani wa sehemu fulani anafanya kazi katika kampuni/shirika fulani akisema namtakia njozi njema mpenzi/mchumba wangu fulani akiwa sehemu fulani namwambia nampenda sana mwezi wa 5 tutaitwa mke na mume.Kama ni wewe likikupata hilo utachukua uamuzi gani

Nyie ni akina nani (hujafafanua) yawezekana ninyi wote ni (wapenzi) wezi wa mapenzi na mnapeana ahadi za uongo na anayetuma salamu za njozi njema ndiye MCHUMBA halisi wa mmoja wenu. Hii inawezekana.
 
Napasua redio, alafu namyonga kisha nasepa kusikojulika tena hapa hapa bongo mana wana intelijensia wako busy na chadema hawatanitafuta.
 
Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom