Hivi huyu vc wa university of dsm ana watoto kweli....................?

only83

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
5,343
2,525
...Kama ulishuhudia kauli ya VC wa University of Dar-es-salaam Profesa Mukandala wakati anaongea na vyombo vya habari kuhusu kuwafukuza wanafunzi takribani 40 na kitu unaweza kulia.Kauli zake ni za kinyama na ambazo haziwezi kutolewa na mtu mwenye watoto na anayeumia na shida za watu.Jamaa anaongea kwa hasira na kusema tutapeleka taarifa bodi ya mikopo na TCU ili watu hawa wasipate mikopo wala udahili chuo chochote cha umma...Hivi kwani wakipata udahili chuo kingine wewe unaumia nini? kama sio unyama na ukatili..ili siku moja uwakute watoto wamekuwa majambazi na wanateseka barabarani ufurahi au siyo,hivi hujui kuwa hawa ni vibaka unaowatengeneza mwenyewe na kuna siku watakukaba mtaani? Hvi kwanini unafanya unyama kwa watoto wa wakulima kwaajili ya kulinda maslahi ya mafisadi wachache? Ni mwanafunzi gani mjinga aanze vurugu bila sababu?

VC Mukandala,tambua hao ni watoto wa wazazi kama wewe,sio watoto wa mawe!!!
 
mimi namfahamu katibu muhtasi wake. Tukichanga pesa mil. 5, tukimpatia na sumu inayoua haraka, atamwekea kwenye chai. Halafu Jason Bourne wa JF atafuta ushahidi, wewe unaonaje ushauri wangu?
 
Mmh,jaribio la kuua?
mimi namfahamu katibu muhtasi wake. Tukichanga pesa mil. 5, tukimpatia na sumu inayoua haraka, atamwekea kwenye chai. Halafu Jason Bourne wa JF atafuta ushahidi, wewe unaonaje ushauri wangu?
 
Kuharibu daladala na cafeteria sidhani kama ilikuwa ndo njia pekee ya kuushinikiza uongozi wa Chuo. Mkandala ninayemfahamu ni Professor makini sana ambaye huwa anapokea hoja. Baadala ya kufanya uharibifu mali za watu binafsi vijana walitakiwa kugoma tu na kujenga hoja bila uharibifu kufanyika.
 
UDSM acheni ujinga, ingieni darasani......MTAFUKUZWA WOTE SERIKALI HAINA HASARA......
CHUO NI MAHALA PA KUSOMEA NA SIO PA MIGOMO ISIYO NA KICHWA WALA MIGUU.....
GOOD JOB Prf. MKANDALA......................
 
Kama mnagoma gomeni pasipo kuharibu mali ama kupiga watu, si utaratibu wala ustaarabu wa migomo huo. Wengine zinakuwa ni bangi si mnamkumbuka yule aliyefia katika swimming pool kwenye ule mgomo wa kudai maji? Nasapoti migomo yenye kutetea maslahi ya wanyonge kama huu wa kudai mikopo.
 
Tunajitengenezea katunisia ketu saaafi! soon katakuwa Mtunisia, na mziki wake utazidi ule wa waarabu wa tunisia. tusubiri utamu wake, maana nina hakika utaanzia huko huko dar, sisi huku ukerewe tutawasapoti tu kama kawaidai
 
Kauli za hasira na zisizo na utu nazipinga siku zote...hawa wahadhiri wa vuoni wangeuka kuendesha vyuo kisiasa ndio tatizo.Ila nachowaasa vijana wenzangu wakati wa migomo si vyema kuharibu mali za uma mnaharibu mantiki nzima ya mgomo na mtakaosa ushirikiano na jamii inayowazunguka
 
Mkandala amefanya alichotumwa kufanya.ila me nina swali hivi kweli wanafunzi walikuwa wajinga kabisa kudai walichokuwa wadai au me sijajua lengo lao?me nadhani chuo hakikufikiria vzr.wangemsimamisha hata mwaka then adhabu ya kurudia chuo ingetosha yaani kurudia mwaka
 
Ana watoto sema pale yupo kazini.............

Hivi unajua adhabu ya treason ukikamatwa ndio maana wanaotaka kupindua nchi huwa wanaplan kabambe wasifail hilo jaribio.Sasa ndugu zangu wa UD ningekuwa mimi ningewafukuza wote na adhabu kali juu, mkiamua kugoma gomeni kwelikweli na vurugu mtindo mmoja sio mnagoma kuonekana mlitaka kugoma ili hata anarchists watawasaidia.
 
bora anaetimuliwa akiwa anapambana kuliko we ulie disco udom.

Mwisho wa siku wote wapo nyumbani, na huyo aliyekuwa anapambana aruhusiwi kusoma tena kwny vyuo vya umma..Sa nani mwenye unafuu?!
 
Back
Top Bottom