Elections 2010 Hivi huyu sheikh yahya tumfanye nini?

mojoki

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
1,314
290
Eti ndugu zangu em toeni uamuzi coz mpaka dk hii hajafa mtu kama alivyotabiri huyu mkali wa majini
 
Weka hoja ambayo ipo very current for this time tupe habari za vituo upande wako hali ikoje mambo ya yahaya atutaki kusikia
 
Manabii wa baali kama huyu enzi za agano la kale walikuwa wanauwa. Bahati yake tuko kwenye agano jipya la neema ya BWANA YESU KRISTO.
 
Ndg yangu usipate shida kuwajadili wapuuzi wanaodandia ujuzi kama huyu anayejiita mtabiri..... kura tumeshapiga na watu wanaendelea kupiga.

Tusubiri matokeo kama hayatachakachuliwa nadhani mambo yatakuwa mazuri.............
 
Tumuonee huruma, ameshindwa yeye na majini yake. Alichotaka hakijawa na kamwe hakitakuwa! Alifikiri atawatisha wagombea wasigombee lakini ameshindwa! Nilishasema awali, shehe Yahya sio Mungu na neno lake sio sheria kwamba lazima litimie. Ameshindwa! Mungu ibariki Tanzania, Mungu bariki uchaguzi mkuu Tanzania.
 
Weka hoja ambayo ipo very current for this time tupe habari za vituo upande wako hali ikoje mambo ya yahaya atutaki kusikia

Wewe usinifundishe cha kuongea umesikia Bwana mdogo...Na naomba utoe mawazo yako sasa kuhusu huyu "YAYA"
 
Tumsamehe maana hajui atendalo
Lini binadamu akawa kama Muumba wa kujua kiama/kifo cha mtu?
Watadanganyika wasokuwa na dini
Tumsamehe tumsamehe tafadhali
 
Udini unawasumbua, hata nyinyi mtakufa.

Hii si tabia njema, mtu akishakufa, hizi si lugha zake.

Jifunzeni ustaarabu kidogo Wakuu wangu.
 
Eti ndugu zangu em toeni uamuzi coz mpaka dk hii hajafa mtu kama alivyotabiri huyu mkali wa majini

Achomwe moto na majivu yake yahifadhiwe ili Ikulu ipate kuyatumia kwa kinga!! Kiroba cha majivu yake apewe Salva Rweyemamu alieyesema tuheshimu utabiri wa Shekhe Yahya! Dadeki.
 
Naona mmeshamfanya. Watanzania kweli ni KIBOKO.

Yaani hamkuogopa Misukule, NCHI KAVU wala MAJINI, mmefanya kweli.

RIP Sheikh wa ukweli.
Eti ndugu zangu em toeni uamuzi coz mpaka dk hii hajafa mtu kama alivyotabiri huyu mkali wa majini
 
Back
Top Bottom