Hivi huyu ni Archard Mutalemwa yupi DAWASCO?

May 29, 2012
89
38
Jana nimesoma gazeti moja likimtaja Mkurugenzi wa Dawasco Bw Archard Mutalemwa nikashangaa; ni Mutalemwa yupi? Aliyekuwa anasambaza maji yasiyo na dawa (1993) wakati akiwa NUWA akaundiwa tume na kuthibitishwa ni kweli? Waziri wa Maji wakati huo alikuwa JK, afya akiwa Meghji.

Ni yule aliyesababisha NUWA kufunguliwa kesi na wakazi wa Sinza baada ya taarifa hizo? Wakazi hao walitetewa na Wakili (sasa marehemu Julius Ndyanabo)?

Ni yule ambaye akiwa NUWA ilikuwa inatuhumiwa kununua madawa ya maji yasiyofaa mara kwa mara na tuhuma za ubadhirifu lukuki?
Kama ni yeye basi muuzieni hayo mashirika ya DAWASCO na DAWASA maana sasa imedhihiri mashirika hayo ni kama mali yake. Cha ajabu nini mbona BWM alijiuzia Kiwira? Ni kweli hakuna mtaalam wa maji nchini mpaka Mutalemwa?

Atakuwa na kizizi kisichokuwa cha kawaida!
 
Archard Mutalemwa
CEO at Dar es Salaam Water and Sewerage Authority
Currently holds this position.

Source: Linkedln
 
Daaaah! Mambo ni mengi....unaweza ona MTU anaonewa kumbe........
 
Jana nimesoma gazeti moja likimtaja Mkurugenzi wa Dawasco Bw Archard Mutalemwa nikashangaa; ni Mutalemwa yupi? Aliyekuwa anasambaza maji yasiyo na dawa (1993) wakati akiwa NUWA akaundiwa tume na kuthibitishwa ni kweli? Waziri wa Maji wakati huo alikuwa JK, afya akiwa Meghji.
tena ana bahati , ingekuwa mimi ningekimbia kabisa, maana ukianza kubisha bisha watafukuwa madudu yote DAWASCO, huyu ana scandals nyingi kama Chenge, naona alijiona "untouchable"! Leo kajuwa...
 
Toka JPM yuko secondary sasa haziish wk 3 atakuwa kajiengua mwenyewe
 
Back
Top Bottom