Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi huyu mwenzetu bujibuji anawazaga nini?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Sumbalawinyo, Nov 18, 2011.

  1. Sumbalawinyo

    Sumbalawinyo JF-Expert Member

    #1
    Nov 18, 2011
    Joined: Sep 22, 2009
    Messages: 1,286
    Likes Received: 15
    Trophy Points: 0
    Mhindi akinistress basi huingia JF. Kuna list ya watu ambao huwa nayapitia maandishi yao ili kidogo kunifurahisha na kunifanya nirudi duniani. Miongoni mwa watu hao ni huyu bujibuji.
    Hebu naomba usome hii link hapa chini halafu unisaidie majibu kuwa bujibuji anawagaje.

    http://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/97325-anataka-kuupamba-mti-wangu-xmas-eve.html
     
  2. Mwita25

    Mwita25 JF-Expert Member

    #2
    Nov 18, 2011
    Joined: Apr 15, 2011
    Messages: 3,840
    Likes Received: 4
    Trophy Points: 0
    Anawazaga nini au anawazaga kwa kutumia nini?
     
  3. feis buku

    feis buku JF-Expert Member

    #3
    Nov 18, 2011
    Joined: Aug 29, 2011
    Messages: 2,371
    Likes Received: 6
    Trophy Points: 0
    naenda muita,ntarudi!
     
  4. Bujibuji

    Bujibuji JF-Expert Member

    #4
    Nov 18, 2011
    Joined: Feb 4, 2009
    Messages: 27,066
    Likes Received: 5,263
    Trophy Points: 280
    Shabashhhhh................
    Mnaacha kumjadili mbunge wa mtera, mko busy na bujibuji.
    Hebu ngoja niendelee kujisikilizia weee riziwani, ongea na mshua
     
  5. Mamndenyi

    Mamndenyi JF-Expert Member

    #5
    Nov 18, 2011
    Joined: Apr 11, 2011
    Messages: 27,241
    Likes Received: 1,912
    Trophy Points: 280
    ana mke mpya,
    mwacheni mwenzenu bado yuko kwenye fungate.
     
  6. figganigga

    figganigga JF-Expert Member

    #6
    Nov 18, 2011
    Joined: Oct 17, 2010
    Messages: 13,563
    Likes Received: 2,011
    Trophy Points: 280
    mi mwenyewe namshangaaa...!!mia
     
  7. NYENJENKURU

    NYENJENKURU JF-Expert Member

    #7
    Nov 18, 2011
    Joined: Feb 11, 2011
    Messages: 1,007
    Likes Received: 7
    Trophy Points: 135
    bujibuji kawa makabila mengine kama vile kwa TaMuganyizi na Rweye ni UJIUJI kwa maana hiyo ujiuji ni laini laini ndo Majibu ya BujiBuji yalivyo.
     
  8. Matola

    Matola JF-Expert Member

    #8
    Nov 18, 2011
    Joined: Oct 18, 2010
    Messages: 30,754
    Likes Received: 4,626
    Trophy Points: 280
  9. v

    valid statement JF-Expert Member

    #9
    Nov 18, 2011
    Joined: Sep 18, 2011
    Messages: 2,730
    Likes Received: 160
    Trophy Points: 160
    kufanya kwanza na waindi ni full stress aisee!
    Kweli unahitaji kupata tulizo hapa jf!
     
  10. Bujibuji

    Bujibuji JF-Expert Member

    #10
    Nov 18, 2011
    Joined: Feb 4, 2009
    Messages: 27,066
    Likes Received: 5,263
    Trophy Points: 280
    Buji is too much, utake usitake lazima utacheka.
    Hiyo avatar yangu inaitwa spirit of bringing joy to the ♥ heart brokens.
     
  11. Shark

    Shark JF-Expert Member

    #11
    Nov 19, 2011
    Joined: Jan 25, 2010
    Messages: 15,719
    Likes Received: 1,845
    Trophy Points: 280
    Kwani tuseme ndio swali lingekua hili la "anawazaga kwa kutumia nini" ungejibu vipi??
     
  12. afrodenzi

    afrodenzi Platinum Member

    #12
    Nov 19, 2011
    Joined: Nov 1, 2010
    Messages: 17,781
    Likes Received: 1,674
    Trophy Points: 280
    Usema kweli hata mi namfagilia sana Bujibuji...
    kheshma yako mkuu..
     
  13. Masanilo

    Masanilo JF-Expert Member

    #13
    Nov 19, 2011
    Joined: Oct 2, 2007
    Messages: 22,323
    Likes Received: 110
    Trophy Points: 160
    Khesma ni lugha gani aaaaagrrrrrrr
     
  14. Nyani Ngabu

    Nyani Ngabu Platinum Member

    #14
    Nov 19, 2011
    Joined: May 15, 2006
    Messages: 65,112
    Likes Received: 16,060
    Trophy Points: 280
    Pole Wozoza....lol
     
  15. Masanilo

    Masanilo JF-Expert Member

    #15
    Nov 19, 2011
    Joined: Oct 2, 2007
    Messages: 22,323
    Likes Received: 110
    Trophy Points: 160
    Onyo Bujibuji acha tabia ya kujipaisha kwa kuanzisha post na kujijibu
     
  16. afrodenzi

    afrodenzi Platinum Member

    #16
    Nov 19, 2011
    Joined: Nov 1, 2010
    Messages: 17,781
    Likes Received: 1,674
    Trophy Points: 280
    lugha ya JF....
     
  17. Masanilo

    Masanilo JF-Expert Member

    #17
    Nov 19, 2011
    Joined: Oct 2, 2007
    Messages: 22,323
    Likes Received: 110
    Trophy Points: 160
    Ona pua yako Kama Rejao
     
  18. afrodenzi

    afrodenzi Platinum Member

    #18
    Nov 19, 2011
    Joined: Nov 1, 2010
    Messages: 17,781
    Likes Received: 1,674
    Trophy Points: 280
    asanteee...
    ungejua jinsi ninavyo mfagilia Rejao ........
     
  19. Rejao

    Rejao JF-Expert Member

    #19
    Nov 20, 2011
    Joined: May 4, 2010
    Messages: 9,223
    Likes Received: 146
    Trophy Points: 160
    afadhali umemwambia...hajui kama hata ulishawahi kunianzishia thread!!
     
  20. Bujibuji

    Bujibuji JF-Expert Member

    #20
    Nov 20, 2011
    Joined: Feb 4, 2009
    Messages: 27,066
    Likes Received: 5,263
    Trophy Points: 280
    una mapepo?
    Nafuata maandiko, nyenyekeeni chini ya mkono ulio hodari ili awakweze kwa wakati wake.
    Kila siku zinaanzishwa thread hapa, wengi wananifanananisha na rev, excellent, na wengine wengi. Lakini bujibuji ni buji wala sina haja ya kujipaisha. Jf hainipi kula wala nafuu ya maisha.
     
Loading...