Hivi huyu mwanachama wa CUF Jussa ni mzima kiakili?

Sio uwongo huo ndo ukweli mtupu, hata mkiukataa utabaki hivo hivo, CHADEMA ni chama cha kikristo tena kikiwa na mrengo wa kikatoliki (makafiri wakubwa). Huhitaji elimu ya chuo kikuu kulijuwa hilo, sera zao zinatoka kwa kadinali Pengo, hata hapa JF wanaokisapoti ni wakristo, na katibu mkuu wa chadema ni PADRI MUASI

uwafikishie hiyo taarifa z.zuberi kabwe,mwanazuoni wa kiislam prof ;Abdallah safari au Said Arfi huenda nao hawalijui hili.
 
Napenda hotuba za Mwalimu Nyerere maana ni hotuba/falsafa zinazohishi na hiki ndicho kinachotofautisha hotuba za watu kama Nyerere na akina Kikwete...aliwai kusema ukiona mtu anaongelea udini na ukabila tambua kuwa kaishiwa sera au anatapatapa kwa kushindwa kwake.Hakuna asiyejua kuwa CUF kimeanza kupoteza nguvu na kupotea kwenye akili za watanzania,na hili limetokana na sera zao mbovu za kutetea ujinga na mambo yasiyo na tija kwa wananchi.Anachofanya Jussa ni kutimiza unabii wa hotuba za mwalimu...nadhani ana hitaji ushauri nasaha.
 
Taarifa toka Zanzibar ni kwamba Chama cha Wananachi (CUF), kilishindwa kulinyakua jimbo la Uzini kutokana na kuwa na wakristo wengi na watu wa bara. Haya ni madai ya Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu. Je hii ina maana kuwa huyu ********* mwenzake aliyechaguliwa ni mtu wa bara na mkristo?
Kwa habari zaidi Bonyeza hapa.

jamaa anaweza kuwa na akili au hana.

ila maeneo mengu ya pembezoni mwa unguja yamejaa wanyamwezi ambao wengi wao hawana akili.
 
Sio uwongo huo ndo ukweli mtupu, hata mkiukataa utabaki hivo hivo, CHADEMA ni chama cha kikristo tena kikiwa na mrengo wa kikatoliki (makafiri wakubwa). Huhitaji elimu ya chuo kikuu kulijuwa hilo, sera zao zinatoka kwa kadinali Pengo, hata hapa JF wanaokisapoti ni wakristo, na katibu mkuu wa chadema ni PADRI MUASI
ukiona mtu anakosa cha kuchangia na kuanza kutumia maneno ya kizamani kama "kafiri" jua ana upeo mdogo na hakustahili kuwemo jamvini, binafsi nafurahia kuitwa kafiri kuliko kinyume chake
 
Back
Top Bottom