Bibie, tazama team ya CDM halafu tazama team ya CUF. Hivyo vyama vyote viwili ni vina udiniAcha uongo! Chadema ni ya watanzania usitake kulazimisha mambo ya udini hapa! Hivi bado tu hamjachoka kupotosha?
Bibie, tazama team ya CDM halafu tazama team ya CUF. Hivyo vyama vyote viwili ni vina udiniAcha uongo! Chadema ni ya watanzania usitake kulazimisha mambo ya udini hapa! Hivi bado tu hamjachoka kupotosha?
Bibie, tazama team ya CDM halafu tazama team ya CUF. Hivyo vyama vyote viwili ni vina udini
taarifa toka zanzibar ni kwamba chama cha wananachi (cuf), kilishindwa kulinyakua jimbo la uzini kutokana na kuwa na wakristo wengi na watu wa bara. Haya ni madai ya naibu katibu mkuu wa chama cha wananchi (cuf) zanzibar, ismail jussa ladhu. Je hii ina maana kuwa huyu ********* mwenzake aliyechaguliwa ni mtu wa bara na mkristo?
Kwa habari zaidi bonyeza hapa.
Nani mbaguzi kama sio huyo jamaa yako?Jamaa anawatoa jasho ndio mnaaza kuleta lugha ya kibaguzi.
Za madrasa changanya na zako, halafu chapa mwendo. Nawe ni juha kama jusa
Unajua maana ya neno 'milele'?CUF ni ya Waislamu na CHADEMA ni ya wakristo na hii ndio sababu itakayo ifanya CCM itawale milele.
Hebu angalieni jina la huyo mwandishi wa makala, mulitegemea kupata maelezo gani yasiyokua haya!Taarifa toka Zanzibar ni kwamba Chama cha Wananachi (CUF), kilishindwa kulinyakua jimbo la Uzini kutokana na kuwa na wakristo wengi na watu wa bara. Haya ni madai ya Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Zanzibar, Ismail Jussa Ladhu. Je hii ina maana kuwa huyu ********* mwenzake aliyechaguliwa ni mtu wa bara na mkristo?
Kwa habari zaidi Bonyeza hapa.
|
| |
|
Hebu angalieni jina la huyo mwandishi wa makala, mulitegemea kupata maelezo gani yasiyokua haya!
Sikutarajia kwa mwanasiasa kama Jussa kutoa kauli kama hii, hii inadhibitisha kuwa CUF ni chama cha kidini na kikabila, tuna takiwa tukiogope kama UKOMA, sikutegemea hili kabisa, KUMBE JUSSA ni MS***** Kiasi hiki?
wana JF tuipige vita CUF kama wote wana vision moja ambayo ni ya kidini
CUF ni ya Waislamu na CHADEMA ni ya wakristo na hii ndio sababu itakayo ifanya CCM itawale milele.
tunaomba mshushe top six ya vyama vyote tuone ni kipi cha kidini?
Hawa ni wazamiaji tu, wala hatujui kwao.Hivi kwao juha ni wapi?
Acha uongo! Chadema ni ya watanzania usitake kulazimisha mambo ya udini hapa! Hivi bado tu hamjachoka kupotosha?
Za madrasa changanya na zako, halafu chapa mwendo. Nawe ni juha kama jusa