hivi huyu mkaka.....

Status
Not open for further replies.
kaka babu!
you are giving me goose bumps! mwisho wa siku tutaanza kusaidiana kwenye ile mada kuu ya ndoa! mwanaume anapaswa kuwa mwanaume kwa sehemu yake, mie sina neno na kusaidiana kujenga maghorofa sio kutengeneza nyusi!
haitakuwa na tofauti na kushi na mke mwenza room moja. a man gotta be a man, i love a masculine man aisee!
afu ume-disturb memory yangu!
Sorry dada,

Nimesikia kila siku akina dada wanatafuta mume ambaye watasaidiana kila kitu...Huoni huyo atasaidiana na mke wake kuwekeana make up na kutinda nyusi?? Au hiyo kazi haihitaji kusaidiwa??

Naamini mke wake atakuwa ana raha sana kwamba anapata mtu wa kufanyia practicals za kuremba...Finally anaweza kuanzisha biashara ya kuremba hata maharusi na wadogo zake Cameron na kujipatia mshiko...Ujasiriamali huoooo.......!!
 
wewe dada acha kunywa mataputapu,mie niliiingia kutafuta mchumba humu lini???? au unatafuta kijanja??na hata kama ingekuwa kweli kuwa natafuta mchumba,nikijiharibia wewe inakuhusu nini acha zako....niko hapa JF kujifurahisha....siko hapa kujipotray am perfect woman like some of you potray yourselves!!!!
Kweli, nilisahau wewe umekuja kikazi zaidi, aggressive marketing. hahahahaha
 
yap ukiisoma ideliti,sio unaleta shauo hapa.topic ya kumpenda wa utotoni na kuwa na k kubwa ni moja ila pale juu umeweka as if labda ni topic mbili nilileta,......you know exactly what you are playing at...bitch!
 
kaka babu!
you are giving me goose bumps! mwisho wa siku tutaanza kusaidiana kwenye ile mada kuu ya ndoa! mwanaume anapaswa kuwa mwanaume kwa sehemu yake, mie sina neno na kusaidiana kujenga maghorofa sio kutengeneza nyusi!
haitakuwa na tofauti na kushi na mke mwenza room moja. a man gotta be a man, i love a masculine man aisee!
afu ume-disturb memory yangu!

Pole dada yangu,

Si unajua tena hivi vichwa vya 1947, havikawii ku-jam,

Take it easy.....Babu alikuwa out of himself....

Babu DC!
 
Kweli, nilisahau wewe umekuja kikazi zaidi, aggressive marketing. hahahahaha

na sikuwahi kuleta thread ya kutafuta mchumba,kujishaua tu wenzenu waonekana madrama queen na nyie muonekane perfect women.....you know what,wanafiki kama nyie wote wafe!!!!!!!
 
yap ukiisoma ideliti,sio unaleta shauo hapa.topic ya kumpenda wa utotoni na kuwa na k kubwa ni moja ila pale juu umeweka as if labda ni topic mbili nilileta,......you know exactly what you are playing at...bitch!
Rebeca acha ukali...halafu Nyumabani loungue uliondoka saa ngapi? on Friday nilikuona Savanna pia..ama kweli unaufaidi huu mji!!!
 
hapo kwenye red, una biashara ya majeneza ama ta tombstones? i would like to press an order miss drama queen..
na sikuwahi kuleta thread ya kutafuta mchumba,kujishaua tu wenzenu waonekana madrama queen na nyie muonekane perfect women.....you know what,wanafiki kama nyie wote wafe!!!!!!!
 
acha kudandia treni kwa mbele,huna hata haya..eti wanafuatilia,wanafuatilia nini sasa.......kwani nina lipi la kuficha mpaka niwaogope nyie vivuli?

Umepanic sasa!!:lol::lol:.... na bado utatoa sana povu mdomoni wewe...huu ni mwanzo tu na JF ndio kama unavyoiona..hahhahahahhahha(Evil laugh)
 
yap ukiisoma ideliti,sio unaleta shauo hapa.topic ya kumpenda wa utotoni na kuwa na k kubwa ni moja ila pale juu umeweka as if labda ni topic mbili nilileta,......you know exactly what you are playing at...bitch!

na sikuwahi kuleta thread ya kutafuta mchumba,kujishaua tu wenzenu waonekana madrama queen na nyie muonekane perfect women.....you know what,wanafiki kama nyie wote wafe!!!!!!!
sasa naona utakosa soko maana umeonesha sura ambayo haivutii kabisaaaaa. roho mbaya, maneno machafu etc. hahaha
 
Umepanic sasa!!:lol::lol:.... na bado utatoa sana povu mdomoni wewe...huu ni mwanzo tu na JF ndio kama unavyoiona..hahhahahahhahha(Evil laugh)

nyoo limekushuka shuu,huna hata la kuongea......umebaki kucheka kama kichaa.....
 
Babu is forgiven, ndo shida ya retirement wakati boom limepungua
ila mna kazi ya kufundisha wajukuu zenu values za kuwa mwanaume bwana, sio kusaidiana kuvaa hereni na skin tite
na viblauzi vya pink!
Pole dada yangu,

Si unajua tena hivi vichwa vya 1947, havikawii ku-jam,

Take it easy.....Babu alikuwa out of himself....

Babu DC!
 
sasa naona utakosa soko maana umeonesha sura ambayo haivutii kabisaaaaa. roho mbaya, maneno machafu etc. hahaha

na nikikosa,soko wewe shida yako nini,kazi kushinda humu jf kutafuta nani drama queen nani sio....tafuta kazi kijana..loh
 
Mi sina haja ya kufanya kazi, nilirithi mabilioni toka kwa babu.
Wewe sio drama queen, we si ulisema ni malaya mstaafu umeacha kazi sababu k yako imekua kubwa?
 
Babu is forgiven, ndo shida ya retirement wakati boom limepungua
ila mna kazi ya kufundisha wajukuu zenu values za kuwa mwanaume bwana, sio kusaidiana kuvaa hereni na skin tite
na viblauzi vya pink!

Hii kazi ni ngumu kuliko kuishi Magogoni.....

Ndo maana labda hata akili ya babu ina-jam

Nikiwaangalia warembo wa kiume kama huyu nawakumbuka sana wajukuu zangu...Roho inaniuma hadi natamani siku nikiwaaga niondoke na Cameron!!

Ila hata wa binti nao mambo yao usipime...Umemsikia Marytina....Kwake yeye kaka na wifi hawana tofauti!!

Ngoja kwanza nitafute maji ya kunywa...

Babu DC!!
 
Mi sina haja ya kufanya kazi, nilirithi mabilioni toka kwa babu.
Wewe sio drama queen, we si ulisema ni malaya mstaafu umeacha kazi sababu k yako imekua kubwa?

Wewe Mwali wewe,

Lipe haki yake jina lako basi....Watu wenye jina na sura kama yako wanakaa huko vyumbani na kuongea kwa sauti ya chini,

Tuachie Rebeca wetu!!
 
Mi sina haja ya kufanya kazi, nilirithi mabilioni toka kwa babu.
Wewe sio drama queen, we si ulisema ni malaya mstaafu umeacha kazi sababu k yako imekua kubwa?

.......kujidai mwali mwali,kumbe malaya tu unakiuzisha hicho kidude chako...na leo ndio watu watakujua hasa you true colours,wivu umekujaa kama vile sio changu?una wivu si una kidude chako????.....
 
Wapotezee Rebeca,

Wengi wamekiri kijana wa watu ni mzuri, ni haki yako kusema uliyoyasema.

Malizana nao kiungwana....kama mtangongana kwa huyo kijana hilo litakuwa timbwili jingine!!

Babu DC!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom