hivi huyu mkaka.....

Status
Not open for further replies.

rebeca

Senior Member
Dec 18, 2011
190
27
DSC01265.JPG
we machozi band ya jaydee ana mke???ni mzuri jamani....mie niko tayari kuwa mke wa pili.....
 
mkewe humjui eeee...kamuulize Nasrim pamoja na kuhonga gari nini kilimtokea chezea mke ya Mwinyi sura kama yangu ila Mwinyi hafurukuti!
 
hahahah shosti sikujua ana mke,atanifanya nini kwani na yeye si mwanamke kama mie tu lol,haiwezekani mwanaume mzuri kama huyu akawa na mmoja tu,mie najitolea kuwa wa pili lol
 
Rebeca mpendwa wetu, mbona unazidi kujiharibia tu?
  • We uliingia humu eti unatafuta mchumba.
  • Mara ukaanzisha thread ya kusema K yako ni kubwa, imechoka sana,
  • alafu we huyo huyo unampenda mpenzi wako wa utotoni...
  • sasa unakuja na picha ya mume wa watu eti unataka kua mke wa pili...
Kwa kweli sina uhakika kama mchumba wako atatokea humu JF...

Hahahahahaha lol! Kweli JF ni burudani ya aina yake!!!....Weye Mwali likaanguka varangati la kuvutana nywele na ngumi zilizoshiba mie siji kuamulia maana uchokozi umeuanza mwenyewe lol! hahahahah! Duh!
 
Inabidi akae karibu na mie nimuazime binduki aisee! Manake sio uchokozi tu, anafanya na umbea na uchochezi!

Mamii, ukiwa na mwanaume wa hivi shurti kila mtu awe na dressing table yake! Hakawii kuwa anakomba mkorogo, na si unajua mkorogo hadi uweke order kwanza? Na jeans ukijinunulia nzuri siku moja moja anaruka nayo. Mwanaume wa hivi ni huduma kama ilivyo kwa mama mchungaji!

King'ast mwenzio sina mbavu huku, lol. Usishangae siku moja ukakuta na makufuli yako kavaa.
 
Tena bikini ya lace! Unafanya masikhara! Afu anaitanua ukija vaa mwenyewe kama kiwowowo ulipunjwa unakuta inapwaya! Usicheke, tuna kazi nzito na vijana wa siku hizi!
Mzima lakini? Mandela hafi anytime soon, ondoa ile camera yako banaa!
King'ast mwenzio sina mbavu huku, lol. Usishangae siku moja ukakuta na makufuli yako kavaa.
 
Mamii, ukiwa na mwanaume wa hivi shurti kila mtu awe na dressing table yake! Hakawii kuwa anakomba mkorogo, na si unajua mkorogo hadi uweke order kwanza? Na jeans ukijinunulia nzuri siku moja moja anaruka nayo. Mwanaume wa hivi ni huduma kama ilivyo kwa mama mchungaji!

Umenikumbusha thread moja ya mdada aliyedai mume wake anapenda kutumia perfume zake za kike badala ya za kwake za kiume. Mdada alijitahidi kumwambia Mumewe kwamba atumie perfume zake lakini njemba ikaendelea kujishindilia perfume za mkewe. Alianzisha thread hapa sijui kama aliweza kupambana na tatizo lake.
 
Hahahahahaha lol! Kweli JF ni burudani ya aina yake!!!....Weye Mwali likaanguka varangati la kuvutana nywele na ngumi zilizoshiba mie siji kuamulia maana uchokozi umeuanza mwenyewe lol! hahahahah! Duh!
Mi sijasema kwa ubaya kaka yangu BAK, nimesema kwa uchungu maana alipoanzisha thread ya kutafuta mchumba alionekana kumaanisha na sasa ameanza kuharibu.

Inabidi akae karibu na mie nimuazime binduki aisee! Manake sio uchokozi tu, anafanya na umbea na uchochezi!
Wala sio uchokozi King'asti. Kama unabisha soma hii thread ...
 
Mi sijasema kwa ubaya kaka yangu BAK, nimesema kwa uchungu maana alipoanzisha thread ya kutafuta mchumba alionekana kumaanisha na sasa ameanza kuharibu.

Wala sio uchokozi King'asti. Kama unabisha soma hii thread ...

....Sawa dada yangu Mwali sasa nimekuelewa.
 
Rebeca mpendwa wetu, mbona unazidi kujiharibia tu?
  • We uliingia humu eti unatafuta mchumba.
  • Mara ukaanzisha thread ya kusema K yako ni kubwa, imechoka sana,
  • alafu we huyo huyo unampenda mpenzi wako wa utotoni...
  • sasa unakuja na picha ya mume wa watu eti unataka kua mke wa pili...
Kwa kweli sina uhakika kama mchumba wako atatokea humu JF...

hahhahah mie nimepita tu sijaona kitu
 
Lol! Mara ukitoka kuoga keshakuwahi na kibanio cha nywele cha njano na yeye ka-match na tshirt yake wakati wewe ulitaka ku-match na leggings! Kaazi kweli!

heeeeeeeeeeeeeeeeeeeyyyyyyyyyyyyyyyy stopppp!! duh, this is disgusting
 
Rebeca mpendwa wetu, mbona unazidi kujiharibia tu?
  • We uliingia humu eti unatafuta mchumba.
  • Mara ukaanzisha thread ya kusema K yako ni kubwa, imechoka sana,
  • alafu we huyo huyo unampenda mpenzi wako wa utotoni...
  • sasa unakuja na picha ya mume wa watu eti unataka kua mke wa pili...
Kwa kweli sina uhakika kama mchumba wako atatokea humu JF...

Mwali... Rebecca ni clone ya NAzjaz... ana K kubwa, imechakaa, anatafuta mchumba, anataka mpenzi wa utotoni, na sasa anataka mume wa mtu...............

Imagine K kibuyu, imechakaa, looking for someone........... interesting indeed
 
wanaume wa hivi usikimbilea dada angu..Mungu hakupi vyote..unaweza kukuta ka kifaa ka ndoa na sio kifaa cha ndoa..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom