Sina la kusema maana mleta mada hajasema tujadiri nini. Kunyatia birian ni kila mtu ananyatia wakt ukifika, kusikiliza hotuma sote twafanza, sasa weye wataka tujadiri nini hapa, leta hoja tafadhari.
Ujue angejigundua kipaji chake mapema jamaa anafit sana kuwa religous commedian ka mchungaji au shekhe flani.cheki alivyo kikitukokituko.duh?kweli wounders never seeze on earth.
Makamba ana akili sana jamani mwacheni maana ndiye anayechangia kwenye mageuzi mnayoyaona sasa. Amefanikiwa kuwakorogo ndani ya CCM, ameweza kutamka vitu vyake binafsi kwa mawazo yake na watu tumeyataja kama mawazo ya chama na hivyo chama kudharaulika sana hata na watoto wa std VII
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.