Hivi huyu EL anayetaka kuwa rais kwa gharama yoyote ana nia njema na nchi hii?

Muarubaini

JF-Expert Member
Apr 7, 2012
222
48
Mwalimu alisema Ikulu sio sehemu ya kukimbilia, ila cha kushangaa mtajwa hapo juu anautaka urais kwa nguvu zote.

Kama nia ni kusaidia nchi naamini kwa nafasi yake alio nayo anaweza tu sio mpaka awe rais.

Jaman watu wanaotaka ikulu kwa gharama yoyote ni kuwaogopa kama UKIMWI.
 
Uongo husambaa nusu ya dunia kabla ukweli haujamaliza kunawa hata uso asubuhi...we mwongo,badilika!!!
 
Lowassa bwana, mi simuelewi. Kwanini hela anazo mwaga makanisani asianzishe mfuko wa kugharamia matibabu? Mi nadhani ingemsaidia zaidi kuikaribia ikulu
 
Back
Top Bottom