Hivi huyu anakupenda kwel?

MUREFU

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
1,331
349
WanaJF salama wote ninaomba ushauri wenu wanandugu mara baada ya kupgwa chn valentine ya mwaka jana co haba tia maji tia maji nikapata mwngne hapa katkat ila tatzo lililopo ni kwamba huyu m2 anasababu cjapata kuona. Mana kila nikipanga 2onane inakuwa tatzo mana hakos sababu. Unaweza kumwambia njoo 2onane leo atakuja na rafiki zake au atakuja na haraka zake kias kwamba mtashndwa kuongea kwa uzur. Je nifanyeje mana nimejitahd kutafuta kila njia lakn wap na hakuna siku ambayo hana sababu au haraka. Yan kama ni mahusiano ye2 yanaishia kwny simu 2uu na kwny email je wanathinker nifanyeje?
 
Du bado katoto hako km unaweza kukavumilia miaka mingine 5 kasubiri na kakipata mbakaji mzuri katakuacha na kukuita mzalendo (si sharp) mkanda nje
kwani ni dada yako gangamala kabamande
 
huyo yawezekana ana m2 au shughuli nyingi zinambana ndo maana haraka sana jaribu kuongea naye au 2mia hao marafiki zake na usiwe na haraka naye sana mpe mda wakutosha...
 
huyo yawezekana ana m2 au shughuli nyingi zinambana ndo maana haraka sana jaribu kuongea naye au 2mia hao marafiki zake na usiwe na haraka naye sana mpe mda wakutosha...

kaka unavyosema ni kwel ila pia nilijarbu kum2mia rafiki yake wa karbu waligombana kwa namna hvyo akaanza kumwambia rafk yake kuwa ninatembea nae sasa cmuelew
 
hakupendi huyo,tafuta mwanamke mwingine,visababu ina maana anaku-avoid tu!!:decision:
 
Tatizo ni wewe na sio yeye....unataka mkae vizuri kivipi tuambie wanajamii huenda hatujui wewe unataka ukae nae mikao gani hiyo ambayo wewe unaona mizuri...au unataka kumnyeta tu? sema watu wakusaidie ushauri...
 
Ndo maana hupenda kumalzia strec zangu hapa,coz pananifunza,na kuniburudisha,jf .......
 
Labda hujawa muwazi kwake,hajampa msimamo wako ni upi kwake.....KUNGURU MUOGA........!!!!!
 
si umwabie ukweli tu kua unavokuja jua tunakuja kuduuu sio unamwita eti mkae muongeee muongee nini hebu nmuweke wazi mtoto aelewe
 
bado mtoto huyo atakusumbua pia amelenga kukuchuna kwanza achana nae ila ukifanikiwa kula mara moja tuu yeye ndiye atakua anakutafuta kwa sasa yeye kashika makali
 
Mie nadhani huyo binti anaepuka mazingira hatarishi ya kukaa wawili ambayo yanaweza sababishwa vishawishi vya kufanya tendo la ndoa, nakuomba uwe mvumilivu tu mfuatilie taratibu kama ni wako atakuwa karibu nawe kadri muda unavyoenda, Huwezi jua pengine huyo aliumbwa kwa ajili yako. Pia ni vizuri ukawa muwazi umweleze malengo yako kwake. kama ni kuoa au la

Haf nawe kaka mbona unakuwa na haraka mno yaani valentine imepita siku kadhaa! tulia na tafakari.
 
hapo kwenye bluu, sory nilipitiwa ila ushauri wangu ni huo hapo juu fuatilia tu. kama unampenda kweli.

Tatizo ni wewe na sio yeye....unataka mkae vizuri kivipi tuambie wanajamii huenda hatujui wewe unataka ukae nae mikao gani hiyo ambayo wewe unaona mizuri...au unataka kumnyeta tu? sema watu wakusaidie ushauri...

kaka hv unaweza ukamit na demu wako mara moja 2 au uconanenae kabisa yan toka nionananae cjawah kukutana nae 2kaongda nae hata robo saa yan haijawah kutokea sasa hapo ninamtafuta 2ongee 2 je nikisema ninataka kumngata cndo atanizingua kabisa
 
Labda hujawa muwazi kwake,hajampa msimamo wako ni upi kwake.....KUNGURU MUOGA........!!!!!

unajua unaweza ukasema kila unachofikiria ila ukwel nimemuweka waz na kama muongo bac yeye ndie muongo mana nimekueleza kila ki2 lakn wap nimeishia mapenz yakwnye smu 2uu na email alafu yupo hapa hapa dar je angekuwa mwanza
 
pengine muoga,sio kama hakupendi,usiwe na haraka nae.akikuzoea atabadilika

mbona hii cjawah kuiona mana kama ni muoga anekuwa anajarbu kukutafuta ili akuzoee sasa yeye anakukwepa je unaweza kumzoea m2 kwa kumkimbia kwel
 
bado mtoto huyo atakusumbua pia amelenga kukuchuna kwanza achana nae ila ukifanikiwa kula mara moja tuu yeye ndiye atakua anakutafuta kwa sasa yeye kashika makali

ninaweza kukubalia kuwa kashka makal ila suala la yeye kuwa mtoto hapana
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom