Hivi huyo wa katikati anapiga sala au anawaza issue ya Jairo?

Mwanamayu

JF-Expert Member
May 7, 2010
11,329
6,447
2.jpg


Source: Othmanmichuzi blog
 
Kwani wanaswali au wanangoja ubwabwa?
Huyo wa kati naona ana mawazo mengi sana, sijui anadaiwa na baba mkwe wake.
 
Hivi waislam ndio tunaswali hivyo au mnatuchokonoa? jambo kama hulijui kwanini lakini ulidhihaki??????????????????????????????????
 
swaumu kali, serikali hoi taabani, ufisadi umemtafuna. msongo wa mawzo lazima uwepo.
 
hivi waislam ndio tunaswali hivyo au mnatuchokonoa? Jambo kama hulijui kwanini lakini ulidhihaki??????????????????????????????????

lakini hiyo imekaa kimaombi vile, mkuu najua unafanya ulegelege lakini jibu unalo ni kwamba mkuu wa kaya halikua mbali na hilo eneo la tukio
 
Wana jf msipende kudhihaki wa2 na dini zao. Kama hunatopic ya kuanzisha bora ufue mashuka yako ukalale, laana ya Mwenyezi Mungu(s.w) itawapata nyie mnaomdhihaki mwenzenu bila kuwa na uhakika
 
hapo keshanawa mikono kabisa anasubiria sinia la pilau, nahisi ndz iko kwa mfuko wa kanzu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom