Pinokyo Jujuman
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 552
- 104
Tatizo la polisi wetu hali zao ni mbaya lakini wanajidai hawaoni.
Wakikamata bangi wanavuta mzigo wote ili kuondoa stress.
Wakikamata gongo wanaigida yote.
Wakikamata unga wana I sniff utadhani wao ndio sniffing dogs.
Kwa mwendo huo unadhani watakuwa na akili timamu?
Ndo maana wanaacha doria na kwenda kucheza disco huku wakiwa na binduki zao
Hapo kwa 1st line hapo mmmh; ndio kusema unawashauri Polisi nao wagome au?