Hivi huyo polisi wa ruvuma vp?

nkisumuno

JF-Expert Member
May 22, 2012
208
72
Nimemsikia kamanda mmoja huko Ruvuma anaongea eti kuna walimu wanawafanya wanafunzi waandamane na eti ana wataka walimu waache. Swali ameambiwa na watoto kuwa wametumwa na walimu au ndo kujipendekeza apandishwe cheo.

Atuache walimu na serikali tudai haki yetu kwani yeye ni msemaji wa wizara ya elimu? Watu wengine kimbelembele tu. Kama wao polisi wanajipendekeza kwa kutimiza matakwa ya serikali hata kama ni maovu akae kimya. Sijui yuko dunia gani halafu anaonekana kijana bado, akizeka sijui itakuwaje
 
Na nyie, huu mgomo wa walim au wanafunzi?
Waoga wakubwa mnaacha kuandamana nyie mnawatuma watoto.lol!

Jitokezeni muandamane nyie.
 
Akizeeka lazima awe mchawi huyo maana hajielewi
alafu utakuta hata yeye ni QT na mitihani inakaribia kwa hiyo
inaleta shida
 
na nyie, huu mgomo wa walim au wanafunzi?
Waoga wakubwa mnaacha kuandamana nyie mnawatuma watoto.lol!

Jitokezeni muandamane nyie.
mgomo wa walimu hauna maelekezo ya kuandamana bana,wameambiwa wabaki hom,watoto wao wanandama sijui ni kwanini bt walimu msiandamane kaeni home mlee familia zenu.
 
Na nyie, huu mgomo wa walim au wanafunzi?
Waoga wakubwa mnaacha kuandamana nyie mnawatuma watoto.lol!

Jitokezeni muandamane nyie.

Acha upuuzi fikiri kabla ya kuaposti nani mwoga polisi ndo waoga wanaojipendekeza, Nani kawatuma watoto wao ndo wanadai haki zao. sis tumegoma sio kuandamana, tofautisha kuandamana na mgomo hiv nchi hii lini watu mtaelimika kama umeshindwa kutofautisha maandamano na mgomo basi wewe hata hpa jamvini hapakufai kafie mbali uko au na wewe ndo wale diyo afande (polisi)
 
Hovyo! mgomo mgomo kwendeni zenu wasanii wakubwa. Mgomo mtagoma nyie?
 
Tatizo la polisi wetu hali zao ni mbaya lakini wanajidai hawaoni.
Wakikamata bangi wanavuta mzigo wote ili kuondoa stress.
Wakikamata gongo wanaigida yote.
Wakikamata unga wana I sniff utadhani wao ndio sniffing dogs.
Kwa mwendo huo unadhani watakuwa na akili timamu?
Ndo maana wanaacha doria na kwenda kucheza disco huku wakiwa na binduki zao
 
mgomo wa walimu hauna maelekezo ya kuandamana bana,wameambiwa wabaki hom,watoto wao wanandama sijui ni kwanini bt walimu msiandamane kaeni home mlee familia zenu.
mamajack jana nimewasikia watoto wanasema walim wametuambia tuandamane.
wanaulizwa mnaandamana nini wanajibu hawajui, manenda wapi? wanajibu hawajui
Sasa hawa wanawatumia wanafunzi vibaya, sijawapenda, wale wanafunzi ni watoto wadogo wanaweza kupotea, kugongwa magari nk.
 
Last edited by a moderator:
Hovyo! mgomo mgomo kwendeni zenu wasanii wakubwa. Mgomo mtagoma nyie?

sio kosa lako hujitambui, wala haki zako huzijui au umetumwa? Wewe ni miongoni mwa watanzania wengi wasiojitambua ambao mmekuwa mtaji mkubwa wa CCM. Hata hivyo sisi tunatangulia mtatukuta mbele
 
mamajack jana nimewasikia watoto wanasema walim wametuambia tuandamane.
wanaulizwa mnaandamana nini wanajibu hawajui, manenda wapi? wanajibu hawajui
Sasa hawa wanawatumia wanafunzi vibaya, sijawapenda, wale wanafunzi ni watoto wadogo wanaweza kupotea, kugongwa magari nk.

Mgomo wetu walimu ni wa kubaki nyumbani mimi nafikiri wazazi wao ndo haziwatoshi ni kwa nini wanawaambia waende shule. Sisi walimu tumegoma na hatuna haja ya kuwatumia watoto kwanza watoto sisi hatuna ubaya nao. Wazazi ndo wanapaswa kuwa wangalizi wa watoto wao. Acha kutupa lawama walimu ilaumuni serikali ambayo imetufikisha hapa.
 
sio kosa lako hujitambui, wala haki zako huzijui au umetumwa? Wewe ni miongoni mwa watanzania wengi wasiojitambua ambao mmekuwa mtaji mkubwa wa CCM. Hata hivyo sisi tunatangulia mtatukuta mbele
Mta bwabwaja sana na ubinafis na unafiki wenu hamtafika popote.
Labda wa TZ wengine na si hawa ninao wajua mimi.

Walimu wenyewe kati yenu mpasuko mkubwa. Kwanza wewe jana umefundisha.
huna mpango wowote.lol!
 
Mgomo wetu walimu ni wa kubaki nyumbani mimi nafikiri wazazi wao ndo haziwatoshi ni kwa nini wanawaambia waende shule. Sisi walimu tumegoma na hatuna haja ya kuwatumia watoto kwanza watoto sisi hatuna ubaya nao. Wazazi ndo wanapaswa kuwa wangalizi wa watoto wao. Acha kutupa lawama walimu ilaumuni serikali ambayo imetufikisha hapa.

Wewe umeifanyia nini serikali ?
 
Winners don't do different things,they do differently,waalimu nawasupport 100/1000
.

Na nyie, huu mgomo wa walim au wanafunzi?
Waoga wakubwa mnaacha kuandamana nyie mnawatuma watoto.lol!

Jitokezeni muandamane nyie.

walimu wameandamana au wamegoma? Oh sory nimesahau namuulza mtu anaitwa "nata"
unategemea akili yke iwe vp zaidi ya "mnato"
 
Tatizo la polisi wetu hali zao ni mbaya lakini wanajidai hawaoni.
Wakikamata bangi wanavuta mzigo wote ili kuondoa stress.
Wakikamata gongo wanaigida yote.
Wakikamata unga wana I sniff utadhani wao ndio sniffing dogs.
Kwa mwendo huo unadhani watakuwa na akili timamu?
Ndo maana wanaacha doria na kwenda kucheza disco huku wakiwa na binduki zao
...Polisi Tanzania ni zaidi uwajuavyo!!....:eek2::eek2:
 
Mta bwabwaja sana na ubinafis na unafiki wenu hamtafika popote.
Labda wa TZ wengine na si hawa ninao wajua mimi.

Walimu wenyewe kati yenu mpasuko mkubwa. Kwanza wewe jana umefundisha.
huna mpango wowote.lol!

Nilifundishwa zamani kuwa Ukibishana na mtu punguania asiyejitambua inaweza kueleweka kuwa wote ni pungwani. Maana hata unachosema inaonyesha umekata tamaa
 
Wewe umeifanyia nini serikali ?
mimi personally na wazazi wangu wameifanyia mengi sana serikali,ila sema tu ndo hivyo viongozi wangu wamekuwa wanafiki na wezi sana.
1.wazee wangu walikuwa wakilipa kodi (kodi ya kichwa) kwa serikali
2.wazee wangu weliipa kodi za mazao na pia walifanya kazi za maendeleo ya taifa ikiwemo kuchangia ujenzi wa shule,zahanati ukizingatia tuna sera ya ujamaa na kujitegemea ila viongoozi ni mabaperi
mie mwenyewe sasa.nakuelezea japo kuwa inaniuma sana
1.kila mwezi ninalipa kodi zifuatazo
a.mshahara wangu almost 25%ninalipa kodi tangu 2009
b.kila nikinunua kitu whether basic or luxuly nalipa kodi.
c.nikisafiri nalipa kodi.
d.nikihitaji kumiliki ardhi ninalipa kodi
e.nyumba yangu nalipia kodi ya majengo
ninamengi sana ngoja niishie tu hapo
sasa wewe uniambie kama sijaifanyia chochote serikali yangu inayonitesa na kunifanya niishi kama mkimbizi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom