hivi huwa unajisikiaje/ungejisikiaje...

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
endapo upo na majirani zako...ni vijana wanaishi pamoja,wewe uko single boy/girl
hawa wandugu huwa wanapeana vichapo vya baba na mama!...
na katika kamchezo kao huwa wakinogewa wanatoa MIGUNO/ VILIO VYA MAHABA!

eti wewe wa chumba cha jirani (ambaye unajikuta uko mwenyewe) either unataka kusoma au kulala au kuangalia movie huwa unajisikiaje/utafanya nini?au utajisikiaje kama haijawahi kukutokea...

mimi mwenzenu fasta huwa naenda zangu MEEDA kwa babu...buku mbili zangu mkononi, nagonga copy.!
 
Imeshanitokea twicely , mara moja nikiwa kwa chumba changu, nikiishi kama tenant jamaa wa room jirani alikua akinitesa si kawaida.
Alikua akirudi mida late hrs, then anakuja na demu afu wameutwika! Wakianza kukulana ni vilio mwanzo-mwisho.
Aidha mara nyingine ilinitokea nilienda Tarime ktk mishemishe za kusamamba mkate wa siku, nikalala guest eebwanae room jirani ikawa hapatoshi .

Kilichoniacha hoi ni asubuhi palipokucha nikiwa mapokezi na hao jirani zangu nao ndo wakawa wanatoka room , nikawa nna usongo nimuone vizuri yule demu kwani alikua na vishindo na mineno ya mizuka si polepole !
Demu mwenyewe alikua kwanza mzee ! Umri ushakwenda arijojo hasa! Takriban nilimtathmini hapungui 50 yrs as such !
Then alikua na msura m'bovu vya kutosha, mipengo meno ya sebule juu na chini hana! Afu she was too black! Mijicho mekundu !
Aaaghrr !
Tembea uyaone.
 
Me huweka earphone ya simu nakula mziki naendelea kuchat kwenye laptop yangu ama najisomea novel.
 
Imeshanitokea twicely , mara moja nikiwa kwa chumba changu, nikiishi kama tenant jamaa wa room jirani alikua akinitesa si kawaida.
Alikua akirudi mida late hrs, then anakuja na demu afu wameutwika! Wakianza kukulana ni vilio mwanzo-mwisho.
Aidha mara nyingine ilinitokea nilienda Tarime ktk mishemishe za kusamamba mkate wa siku, nikalala guest eebwanae room jirani ikawa hapatoshi .

Kilichoniacha hoi ni asubuhi palipokucha nikiwa mapokezi na hao jirani zangu nao ndo wakawa wanatoka room , nikawa nna usongo nimuone vizuri yule demu kwani alikua na vishindo na mineno ya mizuka si polepole !
Demu mwenyewe alikua kwanza mzee ! Umri ushakwenda arijojo hasa! Takriban nilimtathmini hapungui 50 yrs as such !
Then alikua na msura m'bovu vya kutosha, mipengo meno ya sebule juu na chini hana! Afu she was too black! Mijicho mekundu !
Aaaghrr !
Tembea uyaone.

duh kaka inaelekea wewe ni mhanga wa hii kitu...

hivi wanaoliaga ni wadada tu eeh?..
 
Dah umenikumbusha mkuu...nilipokua chuoni hiyo makitu ilikua inahappen sana, ukiona yanakushinda siku mate akiwa na game unadozi mapema au unajipiga exile
 
Ungempigia wa ubani wako nae akupagawishe kwa bluetooth upige mayoweeee hadi wakakuitie mlinzi.
 
Mimi huwa naenda kulala gesti ya hapa jirani kuna chumba special kwa ajili yangu ikitokea kesi kama hiyo.
 
Dah umenikumbusha mkuu...nilipokua chuoni hiyo makitu ilikua inahappen sana, ukiona yanakushinda siku mate akiwa na game unadozi mapema au unajipiga exile

ivi unaweza kulala kweli mbele ya ile milio?...labda exile...
 
kaka kidogo unaukaribia ukweli wa wengi humu...japo wote wanasema tu inakera...

Hahahahaaah!! kweli kabisa wengi huwa wanakimbilia kwenye punyeto japo hawataki kusema ukweli.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom