Wanachama wa JamiiForums waliotangulia mbele ya haki (Fariki) R.I.P

queenkami

JF-Expert Member
Feb 8, 2010
1,599
1,025
Hellow wakuu.

1578553107389.png

Member kama mimi queenkami ambaye sijuani na yeyote wa JF nje ya JF ikitokea nikafariki hamtakaa mfahamu sababu sina mtu katika maisha yangu halisi anayejua kuwa mm ni member huku hivyo aje awajulishe kuwa queenkami is no more.

Hii imenifanya nifikirie kuwa labda baadhi ya wenzetu ambao tulikua nao humu siku zote kisha wakapotea moja kwa moja labda wameshatangulia mbele za haki.

Pamoja na kuwa wengine wanaweza kuwa wameamua kuwa wasomaji au kubadilisha ID lakini nina amini wapo wenzetu waliofariki bila sisi kufahamu.

Ni Chetuntu tu ndiye tuliweza kufahamishwa kuwa member mwenzetu hatunaye tena.Na dedicate wimbo huu kwa Chetuntu na wengine wote waliotutangulia. R.I.P

Last edited by a moderator:
Dah! Queen kami..... Umewaza nini dear? Ujumbe wako umenigusa na kunifanya nimkumbuke ODM (for ndie alie tutaarifu msiba wa Chetundu).

Hapa JF tunaweza tusijuane but tumejenga bonds na some of the members.... Uraiani twaonana na watu wengi na tumejenga mahusiano mpaka (atleast to me) napenda the anonymity ya hapa JF, wawasiliana na watu vizuri kabisa na you can feel wawajua hali you don't know them.... sometimes it makes it so perfect sababu inakua kama "Alice's wonder land" .... What I am saying hapa ni kua in reality hatujuani... but naamini member ambae nawasiliana nae kwa karibu aweza niuma kama vile namjua.... Na kumbuka na wenzetu wengine wana bahati na wajuana....

Nimependa Thread yako.... Naungana na wewe.... "Wa innalilaah wa innallilah rajun" Mwenyezi Mungu Mwingi wa Rehema awarehemu wale woote walotangulia mbele ya haki. Ameen.
 
kuna member nilikua nawapenda sana siku lkn siku hizi siwaoni,na walionesha sana kuipenda sana JF ndo nikapata mawazo kuwa huwenda wako kama mm na labda wamefariki hivyo hakuna wakutujulisha.Kwa kweli kuna member humu nawapenda sana kwa michao na picha niliyojijengea juu yao hivyo japo sijui hata wanafananaje nawezaa kulia nikisia wametutoka.So ni mawazo kama haya ndo yamekua chanzo cha hii thread..

Hapo blue amina.
 
Back
Top Bottom