Hivi how do u feel when your partner talks to the ex?

Musimo Jr
Unless I ve been given sufficient reasons to be concerned, I do not mind if my patner communicates with his ex. I actually could careless! Im more of the mind, binadamu hachungiki so................................

Umeona eeh, hata ufanyeje kama kaamua kucheat u cant stop it
 
mi wala sitaki kuwapa openyo kabisa waongee maana najua nitapata wivu na nafasi ya wao kurudiana inawezekana, so staki kabisaaa
 
Mmh kipolo hakiitaji moto mwingi wapasha tu kidogo then unakula, habari za kuchati na ex hapanaaaaaaaa
 
Mkuu,
Kwenye story yako wewe unaonyesha udhaifu kuwa ulibreak na huyo msichana lakini bado una kisebusebu!
Mwache mwenzio aendelee na maisha yake bana, mbona unataka kumharibia binti wa watu?...kama hutakiwi kubali mkuu!

Jitahidi kuji-distance na ex wako, especially kama kila mtu ameshaanza maisha yake...mpaka hapo jua kuwa yule dada ana maswali ya kujibu kwa mtu wake wa sasa!
Mimi mwenyewe nikihisi maongezi au chatting kati ya wife na ex wake, i must go mad, coz wakikubaliana kitu ni lazima wakitimize. Jamaa atataka kumwonyesha mke wangu kuwa ana mauwezo, na atajitahidi kum-allure hata kwa kukopa Saccos na kuingia madeni!...huh!
Kisebusebu na kiroho papo...let it go man
 
Nimeuliza hapa sijapata jibu, hivi watu wakiachana ndio wanakuwa maadui?
 
mi wala sitaki kuwapa openyo kabisa waongee maana najua nitapata wivu na nafasi ya wao kurudiana inawezekana, so staki kabisaaa
Unajua kuna vitu ambavyo huwa tunavifanya vitokee kwasababu ya insecurities zetu. Kwa mfano huenda wao walikuwa wanaongea siasa lakini kwakuwa wewe huamini kama wanaongea siasa unalazimisha kuwa wanaongea mapenzi, definitely next time wakiongea issue ya mapenzi itaingia na hapo ndipo taabu inapoanzia.
 
Vaa kiatu cha that current bf. Then you wil see how it feels lyk.
Nimevaa viatu vyote na it doesnt feel anything kwasababu unajua kabisa binadamu hachungiki especially when it comes to mapenzi eeh
 
Mkuu Musimo Jr,

Umeongea sana na naona hujaelewa watu walivyosema, issue ni kuwa kama mmeachana kwa nini unaanza kuweka / kujenga mawasiliano ya karibu au ya mara kwa mara?

Hatusemi muwe maadui ... hapana ila kama mkikutana kwa bahati mbaya then mnasalimiana briefly then kila mtu anaendelea na hamsini zake. Na siyo tena kuanza mawasiliano ambayo hayana kichwa wala miguu wakati kila mtu ana mpenzi wake?! - kama bado unampenda wkt mmeachana c bora urudishe tu mapenzi ujue moja!

Tatizo ni haya mambo ya sitaki mbichi hizi ... naona wengi hapa wameshauri kuwa tatizo linalokusumbua hapa ni Kisebusebu na Kirohopapo.

Move on! ...

Ila kwa ushauri wa bure ni kuwa ...

A Wise Monkey Never Monkeys With Another Monkey's Monkey

.
 
And thats what i do, u know kwenye ulimwengu wa sasa wa sayansi kusema u r blocking everything with somebody just because mmeachana sidhani kama ni njia sahihi na narudia tena kusema, kama mtu na ex wake wana mpango wa kurudiana watarudiana tu kwasababu binadamu hachungiki kamwe na kama wameachana for gud hata wakikutana kila siku wameachana tu hizi za kujifanya tunachunga mara sijui tunapunguza mawasiliano ni kuonyesha namna gani wakati tunaachana hatukuwa tumefanya maamuzi sahihi so tuache kuficha udhaifu wetu huko
 
Na mimi habari za ku chat na ex hapana. call me insecure or whatever but when comes to ex, let them be ex (exit). Mliisha achana sasa mambo you ku keep intouch ya nini. You should be investing time in finding new partner if you are still single or in your current one. sometime cheating doesnt mean kukutana kimwili. LET THEM GO!
 
Touché..
 
Meipenda hii asee
 
quote_icon.png
By Nyani Ngabu
Touché..
"Touche" expression is normally used when one has been defeated, and has nothing to say, add, or do

& You have earned yourself your First 4 LIKES for the point well said!

.
 
Back
Top Bottom