Hivi Hizi Tovuti Za Magazeti Ya Tanzania Zina Faida Gani?

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,469
92,857
Hii imekuwa kero kubwa sana kwa upande, nashindwa kuelewa ni sababu zipi zinazosababisha haya magazeti hayaingizwi kwenye tovuti kwa wakati? sasa je kwa watanzania ambao wako nje ya nchi hawana access ya kununua gazeti lenyewe kwenye karatasi amuoni kwamba ni usumbufu mkubwa? kwa sababu katika utafiti nilioufanya nimegunduwa hii ni tabia ya makusudi inayofanywa na kampuni husika,( angalau hapa nitawatetea gazeti la Mwananchi ) ili wauze kwanza ndio baada ya habari kuwa si mpya tena ndio wanayaweka hayo magazeti kwenye mtandao, Mwanahalisi licha ya kuandaliwa wiki nzima lakini leo hii jumatano huwezi kuliona kwenye tovuti mpaka mwisho wa wiki Tanzania Daima nao wamejiunga kwenye hujuma hii pamoja na Ria Mwema, hii ni nini maana yake? wafute tovuti zao mara moja.
Naomba kuwasilisha wadau.
 
Back
Top Bottom