Hivi hizi simu zipo!

G M S

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
502
53
Wadau naomba kujua kuwa kuna simu za nokia original za double line na ni bei gani?
 
mkuu kwa uzoefu wangu hakuna simu za double line zilizotengenezwa na nokia hadi hivi sasa. Kuna wakati walitengeneza simu ya kuingia line mbili lakini hauwezi kuzitumia kwa wakati mmoja itabidi uzime moja na kuwasha nyingine.
 
bongo pia zipo hizo simu sku hizi ni just wiki tu kwa kitu kilichotoka ulaya kuja bongo. Pia cha kuongeza hizo simu hukaa na charge kwa matumizi ya kawaida up to 6 days
 
Mkuu hivi una habari kuwa kuna baadhi ya product ni kwa matumizi ya Ulaya pekee yake nakupa mfano wa simu za samsung za Double line zimetengenezwa kwa ajili ya matumizi ya nchi za Africa na India pekee lakini Ulaya na America hawana hizi simu kama hauniamini ingia SAMSUNG uangalie hii kitu ndipo utaniamini,na kuna baadhi ya Simu za iphone 4 zinatumia line ndogo tofauti na za huku kwetu tanzania.
 
mkuu kwa uzoefu wangu hakuna simu za double line zilizotengenezwa na nokia hadi hivi sasa. Kuna wakati walitengeneza simu ya kuingia line mbili lakini hauwezi kuzitumia kwa wakati mmoja itabidi uzime moja na kuwasha nyingine.

Kama hujuhi kuwa mpole!
 
Mkuu hivi una habari kuwa kuna baadhi ya product ni kwa matumizi ya Ulaya pekee yake nakupa mfano wa simu za samsung za Double line zimetengenezwa kwa ajili ya matumizi ya nchi za Africa na India pekee lakini Ulaya na America hawana hizi simu kama hauniamini ingia SAMSUNG uangalie hii kitu ndipo utaniamini,na kuna baadhi ya Simu za iphone 4 zinatumia line ndogo tofauti na za huku kwetu tanzania.
Uko sahihi kabisa mimi ninayo samsung single line screen touch. Applications nyingi kwenye manual ni kwa ajili ya European countries. Kwa mfano WIFI broadband, nk japo hata Moshi nadhani WIFI ina function.
 
Mkuu hivi una habari kuwa kuna baadhi ya product ni kwa matumizi ya Ulaya pekee yake nakupa mfano wa simu za samsung za Double line zimetengenezwa kwa ajili ya matumizi ya nchi za Africa na India pekee lakini Ulaya na America hawana hizi simu kama hauniamini ingia SAMSUNG uangalie hii kitu ndipo utaniamini,na kuna baadhi ya Simu za iphone 4 zinatumia line ndogo tofauti na za huku kwetu tanzania.

huku line inakatwa na inapiga mzigo vizuri sana
 
sasa hiyo ya nokia unataka ya nin? Chukua sumsung ndiyo bomba! mimi inachapa mwendo mzuri tu. Ila kuna ya kichina imetoka na line tatu! huyu nae kiboko kwa magumashi jamani. Mchinaaaa weeeeee!
 
Mkuu mi nina NOKIA 7100 Original nimezikata line zangu mbili nikapachika kwenye kile kibati na na natumia line 2 kwa wakati mmoja na net kwa kwenda usa jombaa.
 
...Ila kuna ya kichina imetoka na line tatu! huyu nae kiboko kwa magumashi jamani. Mchinaaaa weeeeee!
Juzi nimeona Mchina line nne... nikachoka, line zote zinakuwa hewani concurrently.

Nadhani west hawana shida na simu za line nyingi kwa sababu ya "number portability" na "stable pricing"!
 
Mkuu mi nina NOKIA 7100 Original nimezikata line zangu mbili nikapachika kwenye kile kibati na na natumia line 2 kwa wakati mmoja na net kwa kwenda usa jombaa.
Mkuu utaua betri muda si mrefu kwani kila kibati cha line mbili kinakula chaji balaa soma maelezo yake vizuri utagundua.
 
Mkuu mi nina NOKIA 7100 Original nimezikata line zangu mbili nikapachika kwenye kile kibati na na natumia line 2 kwa wakati mmoja na net kwa kwenda usa jombaa.
Hii fics kiboko.....hahahaha
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom