Hivi hiyo uau wao tukta wa wapi

upele

JF-Expert Member
Mar 3, 2010
364
31
jamani nielewesheni hawa jamaa wameanzia wapi maana kila kukicha kunazaliwa wapya au kwa kuwa uchaguzi unakaribia walikuwepo wapi miaka yote au ndio wameona makula ni hapo ha wao.
maana watanzania kwa kupigana changa la macho si haba wapo akili yanguhainipi kabisa
Conquest-just TUKTA OR TRACTOR(ULIMI AUHISHI MATE)
 
Wao walikuwepo wewe ndio tukuulize ulikua wapi, I hate hypocrits, cheap staff what are you trying to insinurate? kwamba hii issue ya TUCTA ni upuuzi? sad very sad unachojua ni kujadili watu issues hapana halafu unataka kujua wakali wa issues walikua wapi, wako kwenye circles zao za wenye akili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom