hivi hili nalo ni la kweli?

asakuta same

JF-Expert Member
Mar 1, 2011
14,829
5,028
Bajeti ya Marais wastaafu na mawaziri wakuu wastaafu ni Bil. 8 lakn bajeti ya hospitals zote za rufaa ni Bil. 4. Je watu hawa ni muhimu kuliko watanzania mil.45?- dr. Lwetama.
 
Dah kwakweli hiyo sio haki hata kidogo hata kama walikuwa ni viongozi wetu lakini kuwatengea kiasi kikubwa namna hiyo cha pesa kuliko hospitali zetu za rufaa haipendezi hata kidogo MNH hakuna CT scan na hospitali nyingine za rufaa hazina x-ray machines tunatenga kiasi hicho cha pesa kwa wastaafu hao?
 
kwenye kitabu maarufu cha Animal Farm kilichotungwa na George Orwell kuna nukuu hii kuwa ALL ANIMALS ARE EQUAL BUT SOME ANIMALS ARE MORE EQUAL THAN OTHERS!
kwa muktadha huo Watanzania wote ni sawa katika huduma za afya lakini AFYA ZA viongozi wetu wastaafu ni bora kuliko za wengine
 
uuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
hapa naanza kuona misri
 
Bajeti ya Marais wastaafu na mawaziri wakuu wastaafu ni Bil. 8 lakn bajeti ya hospitals zote za rufaa ni Bil. 4. Je watu hawa ni muhimu kuliko watanzania mil.45?- dr. Lwetama.
Bajet ya Chai na vitafunwa 4.2 Billions (Gvt asp) Bajet ya Afya za marais wastaafu Billion 9 Jumla kuu ni 13 Bil.
Kama pesa hii ikipelekwa Rwanda kujengea barabara na miundo mbinu yake, hakutakuwa na mashamba tena nchi nzima
 
Jamani hebu tuweni serious- habari hizi ni za kweli? Mbona zinanifanya nakuwa Tomaso hivi?!
 
Wanakataa kutoa posho kwa walimu na kuongezamshahara,tuendelee na mugomo baridi.
 
Kama ni Kweli basi wahusika wote WALAANIWE NA SISI SOTE (watanzania) TUSEME AMINA.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom