Hivi hili la bungeni ndio LUDOVICK UTTOH yeye amepona?

DOMA

JF-Expert Member
Mar 17, 2011
944
365
Wakuu mara baada ya kutoka kwa ripoti CAG na kuonyesha uozo na ubadhirifu mkubwa wa mali za umma wabunge,wasomi wanasiasa na wananchi mbalimbali wamempongeza sana Ludovick Uttoh mkaguzi na mdhibiti mkuu wa serikali kwa kazi nzuri sasa je? bado CAG anatakiwa kuwajibika dhidi ya ripoti ya katibu mkuu wa Nishati na madini David Jairo ambayo ilimsafisha huku kukiwa na ubadhilifu wa waziwazi?
Mapendeko yangu;
ni vema pia hili la kubadilisha na kuondoa viongozi wabadhilifu pia likamhusisha Ludovick Uttoh dhidi ya ripoti yake dhidi ya David Jairo, wewe una maoni gani?
 
Uttoh kavumbua mengi yaliyo jificha heading mim nilijua nakuja kukutana na mada ya baada kuawataja hawa mawaziri wezi watamuacha salama any way hamana mwanadam mkamilifu lkin kwa upepo uliopo wa sasa hivi ni kazi yake Uttoh
nakuheshm sna sir Uttoh
 
kosa la utto kwenye ripoti ya jairo liko wapi?
Maana yeye aliagizwa achunguze unajua walimpa wigo upi wa ukaguzi?
 
Back
Top Bottom