Hivi hii ZINDUKA ni njaa au?

Hapo ni mwanzo tuu , tutaona sana hawa clouds wakifanya mengi, ikiwapo siku ya kifo cha wasanii wa Tanzania pale proffesional mastering studio ambayo JK atamkabidhi Ruge hivi karibuni , itakapo ingia.
Hii kampeni ilikua ya dhukuma baada ha Mr II kuibiwa aidea na hawa clouds ni jambo la kawaida kufanya hivyo.
Kwa ujanja wa RUge amesha mkamata Januari Makamba, Mwamvita ,Kevin Twisa na wengine wote muhimu kw amasalahi yao clouds .
RUge amesha jijenga kwa KIkwete ,pia ni yuko karibu na Rizawan ,wote hawa JK,Rizwan na badhi ya viongozi wenye maamuzi hawana idea na utendaji wa huyu RUge , wao wakidhani ni mtu mzui anaye zaidi vijana mbaka kuanzisha taasisi yake ya THT.
NIkweli wasanii haswa alio kwnye THT hapo ukipata na fasi uwaulize utapata habari nyingi za kushangaza tofauti na unavyo waona jukwani wakisifia clouds.
Cloud radio and soon Clouds TV , tukianza na hao presenters ni wote wana udhalimmu na dhuluma kubwa kwa wasanii.
Tamasha hilo liliandaliwa zaidi kwa wasanii wa THT na mbaka yule mmoja akakosa mistari na kuanz akuimba YOriYori
Tuhuma za Ray C hapo naona memeuonea , alifunika sanamwili wake siku ile na pia sikuona ajabu kwani ukiangalai wacheza ngoma zaasili wanapo cheza ngoma mbele ya viongozi huwa wan avaa uchi zaidi hata ya huyu dada
JK ni mtu kileo yeye mwenywe ni big fan wa Bongo flava sidhani kuondoka kwake ni sababu ya kivazi cha RAyC kwanz ainawezekana alimuona kapendeza.
 
Mtoto wa Kishua,

Nilitaka kusema hili la THT, kwamba ni usanii mtupu pale.

Hivi watu wamezibwa macho na masikio kwamba hawaoni na hawasikii kilio cha wasanii? Kesi ya nyani unampelekea tumbili, haki itatendeka pale?

Wasanii wameingizwa mjini, ukweli ni kwamba THT (ambao tayari wameshawateka wasanii wengi kiakili) ndio watakaokuwa "wadosi wapya" katika suala zima la usambazaji wa kazi za filamu na muziki nchini. THT itawanyang'anya tonge mdomoni akina Mamu Stores, utakuwa ni ubepari mpya, dhuluma na iendelee.

Hiyo studio mpya ambayo inatarajiwa kuwa ya "wasanii" itakuwa chini ya Ruge na wenzake, hakuna kipya.

Kwa nini wasipewe wenyewe wasanii waiendeleze? Kwa nini apewe Ruge na wenzake?

./Mwana wa Haki

Na bado nitasema. Hata wakini-kolimba, bora kufa kishujaa kuliko kukaa kimya!
 
Hapo najiulzia swali , inakuaje JK atoe msada kwa watu walio wasanii, hakuna vyombo ambavyo vina file la Ruge kumcheki kama ana faa na kwanini dhuluma iendelezwe hata kwa kitu kinacho wezekana kuki weka vizuri?.
Suala la usambazaji wa wahindi lilisha tekwa na RUge toka muda mrefu , Ruge alikau na uwezo wa kutaka na ani kazi yake isinunuliwe na Mhindia au nani anunua , alikua na big influence kwa hao wahindi , kwa sasa ndio kapewa kisu makali yake tutayaona since Mheshimiwa inaonekana an amfagilia sana huyu jamaa.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom