Hivi hii ZINDUKA ni njaa au?

na usiku ule pale kuna watu WAMEIKWAA HIO MALARIA,kuna mbu sana pale!!!
 
Mie nadhani kwa mheshimiwa ilikuwa pia ni sehemu ya kampeni zake za Oktoba mwaka huu, maana hata mimi sikuona mantiki ya uwepo wake pale, ukizingatia alitoka Dodoma jioni ile kwa ajili ya tamasha lile na alirudi Dodoma kama si usiku ule ule basi ni asubuhi ya Jumapili huku kama si kufuja ngawira za walipa kodi ni kitu gani?
 
He sikutambua hili kulikuwa na kiingilio? HEALTH PROMOTION inatozwa? Huku tunakoelekea sasa siko kabisa
 
Pangetosha sana kwani kampeni zingine zote za ukimwi sijui nini kwani watu hawatoshagi kwenye viwanja??? Ni kuwa tu na mipangilio mizuri ya ulinzi na logistical issues kila kitu kinaenda poa. all in all doing that thing usiku tena kwa kucharge was ridicolous.

Na huyo Ray C anayevaa nguo za ajabu mpaka mkulu akasepa fasta kwenye kampeni ya jamii jamani it was not right honestly. hatukuwa kwenye show off of whatever you got under neath your half made clothes hata kama uko sexy kiasi gani ni ulimbukeni tu hakuna lingine.

Aaaaaaaaaaaaaaaagh i get so pissed of na watu wa nchi hii saa zingine.wai
Sasa Ray c asingevaa vile unafikiri mkulu angeondoka?mkulu angekaa mpaka kuchwee pale,bora alivyowahishwa kuondoka!!
 
Na my wife wake mkulu alikuwa pembeni anachunga mali zake akaona hapa itakuwa soo bora niishie mapema kabla mambo hayajaharibika kaaaazi kwelikweli
 
Nilikuwa nafuatilia live lile tamasha na ninamshukuru kweli Ray C kwa kuanika mwonekano wa msanii halisi wa kitanzania ktk masuala ya vivazi. Na pia Mkulu akome kujiamulia tu kwenda bila ya kuwasikiliza wasaidizi wake ili kuset code ya event maana mkuu wanchi anapokuwepo mahala dunia inaangalia kinachoendelea. Nilifurahhi kweli dada yule alipoingia na kumwona mkulu akianza kusepa baada kicheko kireeefu akimwangalia banana zoro (ambaye sijui alikuwa anaimba nini na sauti imekauka kwa pombe).

Kosa lililofanyika pale ni kuwaachia clouds wafanye kila kitu huku serikali ikidhani hao jamaa ni wataalam wa events kama hizo bila kufanya tahmini ya jinsi wanavyoendesha fiesta kimadudu madudu. Pia wameita wasanii wa kizazi kipya wasio na taaluma ya muziki kupanda jukwaani ndo wameharibu kampeni nzima walah kiasi kwamba kesho yake nilifungua chandarua yangu kutoka kitandani.

halafu wanaposema KIZAZI HIKI KIWE CHA MWISHO KUFA KWA MALERIA walipata wapi tungo hii isiyo na mashiko? waliipeleka BAKITA ikahaririwa iwe nzuri au ndo zile zama zidumu fikra za.....?

sipingi kampeni nzuri ya serikali ila naenda kinyume na namna walivyozindua zinduka yao
 
Pangetosha sana kwani kampeni zingine zote za ukimwi sijui nini kwani watu hawatoshagi kwenye viwanja??? Ni kuwa tu na mipangilio mizuri ya ulinzi na logistical issues kila kitu kinaenda poa. all in all doing that thing usiku tena kwa kucharge was ridicolous.

Na huyo Ray C anayevaa nguo za ajabu mpaka mkulu akasepa fasta kwenye kampeni ya jamii jamani it was not right honestly. hatukuwa kwenye show off of whatever you got under neath your half made clothes hata kama uko sexy kiasi gani ni ulimbukeni tu hakuna lingine.

Aaaaaaaaaaaaaaaagh i get so pissed of na watu wa nchi hii saa zingine.wai
Tuachane na mjadala wa uhalali au la wa kuweka kiingilio. Tuje kwenye mada yenyewe ya Zinduka. Unaonaje kampeni hii?
 
Easy mchajikobe... sometimes tunakuwa serious sana hata kwa simple things. Was just thinking aloud.

by the way, kwanini unasema ni heri wangechangiwa watoto wa babu Seya? and why specifically him? au ni mfano tu umetoa?
Huu ni mfano tuu nimewatolea,kwamba kuwa msanii u've 2b creative,kuna mambo mengi ya kufanya kujipatia kipato kama msanii,hatunaaja ya kujinenepesha na issue haramu kama hizi,tuwe wabunifu jamani!!
 
Kusema kweli inasikitisha kuona swala hili watu wametaka kujinufaisha.na nasikia walio lipishwa ni wale walala hoi shilling 3000 na wale wa vip wameingia bure na kupewa vyandarua vya bure.

sasa yule mlalahoi anayehitaji chandarua hakupewo japokuwa kalipa kiingilio lakini wale ambao wenye uwezo wamepewa bure.

na kitu kingine ni mpaka lini watu watajua kwamba vita zidi ya malaria vyandarua sio jibu pekee? kuna mambo mengi sana lakini wapambanaji hawako serious bado katika kukomesha malaria.

hio habari hapo chini source ni nifahamishe.com na kama ni ya ukweli kuna mchezo mchafu umefanyika.swali langu kubwa hili swala ni biashara au msaada? na kama msaada mbona watu wote walioudhuria hawakupewa vyandarua si ndio watu wangeanza "KUZINDUKA" hapo? na kama ni biashara basi hakuna wakumlaumu kwani walichofanya kila kitu sawa na ndio njia nzuri ya kufanya biashara yako ipate wateja.

Tamasha La Malaria, Mr II AdhulumiwaIsmail Ally 2/13/2010 3:46:53 AM
4070010.jpg
Kwa mujibu wa gazeti oaj la kila siku, taarifa za ndani ambazo gazeti hilo imezipata na kuthibishwa na mtandao huu, mradi huo mkubwa wa kutokomeza malaria unadhaminiwa na taasisi moja ya Marekani ya Malaria No More ambayo hujishughulisha katika kuhakikisha inatokomeza ugonjwa wa malaria.

Vyanzo vya habari vimeiambia Mwananchi kuwa mradi huo wa kutokomeza ugonjwa huo hatari ambao utakuwa kwa awamu, katika awamu ya kwanza umetoa kiasi cha dola za Kimarekani milioni 100 kwa miaka miwili.

Vyanzo hivyo vya habari vinaeleza kuwa Mr.II akiwa na kampuni yake ya Deiwaka Entertainment ndiye aliyekuwa wa kwanza kufanya mazungumzo na Malaria No More nchini Marekani, taasisi ambayo baadaye ilikuja kumuajiri aliyekuwa balozi wa Marekani nchini Mark Green baada ya kumaliza muda wake wa ubalozi.

Vyanzo hivyo vya habari vimeendelea kusema Mr.II alikuwa akifanya kazi na Malaria No More akiwa Marekani ambapo mwanamuziki huyo alitoa wazo na mpango wa kufanikisha utekelezaji wa mradi wa kutokomeza malaria nchini.

Vyanzo hivyo vimeendelea kueleza kuwa Balozi Green aliunganisha uongozi wa Malaria No More na Ikulu ambapo mkurugenzi mtendaji wa taasisi hiyo alikuja kuonana na Rais Jakaya Kikwete, lakini baada ya hapo mambo yaligeuka kwa sababu mkurugenzi huyo alikutana na msaidizi wa ofisa mmoja mwandamizi wa Ikulu ambaye ndiye anashutumiwa kudhulumu.

Inadaiwa kuwa mara baada ya ofisa huyo wa kugundua kuwa mradi huo wa kuondoa malaria utatumia pia sanaa katika kufikisha ujumbe alimpa kazi hiyo rafiki yake ambaye ni kiongozi wa kituo cha kuendeleza vipaji, THT.

Vyanzo hivyo vya habari vinaendelea kusema mara baada ya kupewa kazi hiyo, kiongozi huyo wa THT hakutaka kumshirikisha tena Mr.II huku akifahamu kazi yote ya kushughulikia mradi huo ilifanywa naye.
 
Kaaaaaazi kweli mambo mengine yanayofanyika bwana aaaah utadhani ......,may be wengi walikuwa usingizini ndo maana wakazindushwa na giza tena.
Sie ni wasafiri na yaonekana ni dereva tu ndo anafaham tuelekeapo.
 
nchi hii kuna usanii sana ...kwa staili hiyo nadhani walengwa hawakuweza kuingia kwenye hilo tamasha...Kwa nini usiku na si mchana..?
 
na kitu kingine ni mpaka lini watu watajua kwamba vita zidi ya malaria vyandarua sio jibu pekee? kuna mambo mengi sana lakini wapambanaji hawako serious bado katika kukomesha malaria.
Hapa Mazee umenena neno. Hao mbu wanaong'ata watu sebuleni na vibarazani wajinga wengi hawajihushi nao.Ni ajabu kabisa kuamini kuwa masaa matano ya kulala ndio yatatatokomeza malaria.
 
Jana nilisikia sehemu ya mahojiano ya Mr. II na Mussa wa EA Radio, Mr. II aliwatuhumu Ruge and January Makamba kwamba wamehusika kumhujumu kwenye program aliyoiasisi yeye. Mpaka naacha kusikiliza, Jamaa wa EA Radio walikuwa wanatafuta Ruge and January, hakuna aliyepokea simu zao.
 
jana nilisikia sehemu ya mahojiano ya mr. Ii na mussa wa ea radio, mr. Ii aliwatuhumu ruge and january makamba kwamba wamehusika kumhujumu kwenye program aliyoiasisi yeye. Mpaka naacha kusikiliza, jamaa wa ea radio walikuwa wanatafuta ruge and january, hakuna aliyepokea simu zao.

mzawa halisi umenichekesha hii ndo naisikia kwako
 
Jana nilisikia sehemu ya mahojiano ya Mr. II na Mussa wa EA Radio, Mr. II aliwatuhumu Ruge and January Makamba kwamba wamehusika kumhujumu kwenye program aliyoiasisi yeye. Mpaka naacha kusikiliza, Jamaa wa EA Radio walikuwa wanatafuta Ruge and January, hakuna aliyepokea simu zao.
mimi nimewahi kuwa rafiki wa baadhi ya wasanii hawa wa kizazi kipya, kwa taarifa tu, hakuna ambae anafurahia kufanya kazi chini ya mwavuli wa CLOUDS na kampuni zake tanzu, ni walaghai, matapeli, wazulumaji wakubwa,.
mtu anaweza kuuliza mbona bado wasanii wanafanya kazi na taasisi hiyo ? jibu ni sahihi, umasikini , uduni wa elimu na kutokua na umoja ndio vinavyowaangamiza.
kweli ni fadhaa kwao , hawana raha, lakini wafanyaje ?
 
Bila shaka wadau wote mpo poa baada ya kuzindushwa na kujivalentainisha vya kutosha.Mimi ndugu wadau kuna kitu nimeona juu ya hili tamasha kuu na zito kitaifa,binafsi sikuona mantiki yoyote ya kitu kama hii kufanyika usiku tena kwa kutozana fedha,nijuavyo mimi vitu vya kijamii kama hivi hufanyika mchana bila malipo yoyote sababu tuu kunakuwa tayari na mashirika husika ambayo yamechangia fedha za kutosha kuendesha shughuli nzima,nikitazama ki undani,malaria inawaathili na kuua watanzania wengi wasio jiweza,sasa hapa kutozana fedha hamuoni kuwa ni kugandamizana kimtindo?Malaria pia huathili sana kina mama na watoto,hivi mnafikiri ni baba gani angemruhusu mama na kichanga chake kwenda kuzindushwa usiku huoa?Ndio maana nikasema hii event nzima ingefanyika kuanzia mida ya asubuhi na kumalizika jioni,bure ili kila mmoja aweze jumuika,kama yalivyokuwa mengine,ya vita juu ya mauaji ya albino,kampeni za tokomeza ukimwi,saratani ya matiti etc!Haya ni mazingira ya kupeana lishe tuu,naona vijana wa bongo flava walikuwa wamechoka vibaya hivyo wakaamua kutengenezewa mazingira ya kula japo kuwa hawashibi,sasa nyie wasanii wetu,kweli kusoma hamjui ila hata picha ya nini kilitakiwa kufanyika nayo hamkuiona?Yaani ile issue ilikuwa batili ile mbaya,wasanii hawakujua wapo pale sababu ya nini,nahisi walijua ni FIESTA,kwasababu walienda nje na mada kabisa,walitakiwa hata kama wanaimba nyimbo zao,wagusie walau hata hako ka slogan ka malaria walau mwanzo au mwisho wa nyimbo zao,lakini wao ni shigide mara mwingine kaishiwa mistari anatupa yori yori,kwanini hatujifunzi kutoka kwa wanaojua?Sehemu kama hizo mshkaji alipoweka yori yori ndipo pa kuweka hizo mada husika,kama tunavyojua siku zote anayemlipa dj ndio huchagua nyimbo,kwa hiyo walistahili kutupa walau picha kuwa hapa ni malaria na si Fiesta.Mwisho napenda kushukuru sana Ray C kwa kumkatisha starehe mkulu kwa vivaz vyake Murua!!Vipi wenzangu mmelionaje hili?

Nilikwazika kwa kiasi kikubwa na tamasha la Zinduka kwani inaonekana hata Rais mwenyewe alijisahau akaanza kupiga kampeni kwa kuanza kuelezea ahadi zake kwa wasanii,na jinsi atakavyoendelea kuzitekeleza.Mheshimiwa alienda mbali zaidi na kuahidi kuunda TASK FORCE!!!!!!!!!!!!!!! kwa ajili ya kuchunguza wizi wa kazi za wasanii.Sidhani kama kweli pale palikuwa ni mahali pake,ukizingatia hata wafadhili walikuwa pale.Hotuba ya rais haikuwa yenye mchanganuo wenye mantki ya kufikirisha zaidi,Haikuwa na mvuto wenye kuonesha kwamba the guy is really serious! kama kweli kuna TACAIDS kwanini isiwepo TACMALARIA which would be the body with full autonomy to curb this most killing disease????
 
Kusema kweli inasikitisha kuona swala hili watu wametaka kujinufaisha.na nasikia walio lipishwa ni wale walala hoi shilling 3000 na wale wa vip wameingia bure na kupewa vyandarua vya bure.

sasa yule mlalahoi anayehitaji chandarua hakupewo japokuwa kalipa kiingilio lakini wale ambao wenye uwezo wamepewa bure.

na kitu kingine ni mpaka lini watu watajua kwamba vita zidi ya malaria vyandarua sio jibu pekee? kuna mambo mengi sana lakini wapambanaji hawako serious bado katika kukomesha malaria.

hio habari hapo chini source ni nifahamishe.com na kama ni ya ukweli kuna mchezo mchafu umefanyika.swali langu kubwa hili swala ni biashara au msaada? na kama msaada mbona watu wote walioudhuria hawakupewa vyandarua si ndio watu wangeanza "KUZINDUKA" hapo? na kama ni biashara basi hakuna wakumlaumu kwani walichofanya kila kitu sawa na ndio njia nzuri ya kufanya biashara yako ipate wateja.

Tamasha La Malaria, Mr II AdhulumiwaIsmail Ally 2/13/2010 3:46:53 AM
4070010.jpg
Kwa mujibu wa gazeti oaj la kila siku, taarifa za ndani ambazo gazeti hilo imezipata na kuthibishwa na mtandao huu, mradi huo mkubwa wa kutokomeza malaria unadhaminiwa na taasisi moja ya Marekani ya Malaria No More ambayo hujishughulisha katika kuhakikisha inatokomeza ugonjwa wa malaria.

Vyanzo vya habari vimeiambia Mwananchi kuwa mradi huo wa kutokomeza ugonjwa huo hatari ambao utakuwa kwa awamu, katika awamu ya kwanza umetoa kiasi cha dola za Kimarekani milioni 100 kwa miaka miwili.

Vyanzo hivyo vya habari vinaeleza kuwa Mr.II akiwa na kampuni yake ya Deiwaka Entertainment ndiye aliyekuwa wa kwanza kufanya mazungumzo na Malaria No More nchini Marekani, taasisi ambayo baadaye ilikuja kumuajiri aliyekuwa balozi wa Marekani nchini Mark Green baada ya kumaliza muda wake wa ubalozi.

Vyanzo hivyo vya habari vimeendelea kusema Mr.II alikuwa akifanya kazi na Malaria No More akiwa Marekani ambapo mwanamuziki huyo alitoa wazo na mpango wa kufanikisha utekelezaji wa mradi wa kutokomeza malaria nchini.

Vyanzo hivyo vimeendelea kueleza kuwa Balozi Green aliunganisha uongozi wa Malaria No More na Ikulu ambapo mkurugenzi mtendaji wa taasisi hiyo alikuja kuonana na Rais Jakaya Kikwete, lakini baada ya hapo mambo yaligeuka kwa sababu mkurugenzi huyo alikutana na msaidizi wa ofisa mmoja mwandamizi wa Ikulu ambaye ndiye anashutumiwa kudhulumu.

Inadaiwa kuwa mara baada ya ofisa huyo wa kugundua kuwa mradi huo wa kuondoa malaria utatumia pia sanaa katika kufikisha ujumbe alimpa kazi hiyo rafiki yake ambaye ni kiongozi wa kituo cha kuendeleza vipaji, THT.

Vyanzo hivyo vya habari vinaendelea kusema mara baada ya kupewa kazi hiyo, kiongozi huyo wa THT hakutaka kumshirikisha tena Mr.II huku akifahamu kazi yote ya kushughulikia mradi huo ilifanywa naye.
Mijizi mingine bwana,haina hata akili!!
 
Nilikwazika kwa kiasi kikubwa na tamasha la Zinduka kwani inaonekana hata Rais mwenyewe alijisahau akaanza kupiga kampeni kwa kuanza kuelezea ahadi zake kwa wasanii,na jinsi atakavyoendelea kuzitekeleza.Mheshimiwa alienda mbali zaidi na kuahidi kuunda TASK FORCE!!!!!!!!!!!!!!! kwa ajili ya kuchunguza wizi wa kazi za wasanii.Sidhani kama kweli pale palikuwa ni mahali pake,ukizingatia hata wafadhili walikuwa pale.Hotuba ya rais haikuwa yenye mchanganuo wenye mantki ya kufikirisha zaidi,Haikuwa na mvuto wenye kuonesha kwamba the guy is really serious! kama kweli kuna TACAIDS kwanini isiwepo TACMALARIA which would be the body with full autonomy to curb this most killing disease????
Shame upon Mr.president and his washauri!!
 
siyo njaa mkuu bali ni mpango wa kutengeneza pesa kama mipango mingine yoyote mfano Kilimo Kwanza, Mkukuta, Mkuza, Mkurabita...you name them....

unaukumbuka wimbo wa yule mkenya...nchi ya kitu kidoogo, nchi........
 
Back
Top Bottom