hivi hii ya Ay kumpambanisha jay z,kanye west sio usanii?

Bob K

Member
May 26, 2009
46
2
katika vitu vinavyonishangaza ni hii ya mwanamuziki wetu wa bongo fleva AY ambwene yesaya kupambanihswa na jay z na kanye west katika category moja ya tuzo za mtv africa.

huu sasa ni usanii hivi inamuingia akilini mtu anayefahamu muziki au kazi alizozifanya jay z na kanye west kuzipambanisha na abwene yesaya halafu kura nyingi zitangazwe kwamba Ay kashinda na yeye mwenyewe na akili yake timamu anakwenda kupokea tuzo kwamba mimi ni zaidi ya jay z na kanye west kama ni mimi nakataa hata tuzo yenyewe hili halihitaji hata elimu ya darasa la nne kulifahamu ifike wakati hawa jamaa wa mtv africa, mnet na matuzo yao ya kola ya kupigiana kura badala ya kuangalia kigezo cha mauzo,waache usanii hivi vitu vingine ni kutudhalilisha sisi waafrika wa huku barani kweusi katika mipango yao kama hii hebu wadau wengine naomba mchango wenu hii ni sawa kupambanisha Ay ambwene yesaya na Jay z na kanye west!!!?
 
Kwanini Jay-Z na Kanye West wamewekwa Africa? Hiyo category ilikuwa ya AY na wanamuziki wengine wa Afrika.

Kwani Jay-Z na Kanye West ni Wa-Afrika? The proverbial "apples to oranges" comes to mind.
 
hawa mtv africa pumbavu sana..niliona last year walimpambanisha prof j na lil wayne na game,nikadhani ni makosa ya kiufundi,sasa naona wamezoea.wajinga sana
 
Back
Top Bottom