Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi hii serikali ya ccm inailalamikia nini malawi ilhali imekuwa ikilalama kuwa nchi hii ni kubwa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by YAGHAMBA, Aug 8, 2012.

 1. YAGHAMBA

  YAGHAMBA JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 8, 2012
  Messages: 521
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  WANA JF NIPOKEENI WAKUU, Naomba tusaidiane ktk hili la mpaka wa Malawi, Serikali hii ya CCM tumeisikia mara kwa mara ikilalama kuwa nchi hii ni kubwa sana kiasi kwamba inakuwa vigumu kupeleka huduma muhimu za kijamii ktk maeneo yote nchini, ushahidi ni pamoja na hali ya huduma za kijamii kama barabara ktk eneo hilo la mpaka wa MALAWI, je kwanini basi isiikubalie Malawi ili iliendeleze eneo hilo maana nina wasiwasi hata wananchi wa huko wangependa kuishi MALAWI kwa sababu ya kutelekezwa na serikali.
   
 2. Crucifix

  Crucifix JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 1,618
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Mmalawi wewe tena mwehu!
   
 3. O-man

  O-man JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2012
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Acha uvivu wa kufikiri. Inaelekea hujawahi hata kuwa na bustani achilia mbali shamba. Kama na hapa pia hujaelewa, una matatizo ya problem.
   
 4. W

  Wamunzengo JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 515
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Duh!! taratibu mkubwa, utaua watu.
   
 5. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,878
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  ccm ni chama tu wenye nchi ni sisi!Tafakari!
   
 6. M

  Michael Mwakyusa JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 18, 2012
  Messages: 295
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Nafikiri wewe sio mtanzania au unatumiwa,wewe ni mjinga kajifunze uzalendo.united we must stand.
   
 7. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 26,015
  Likes Received: 3,306
  Trophy Points: 280
  Sijui hizi ndio fikra mfu ama fikra Masaburi?
   
 8. M

  Mwanaharakatihuru JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2012
  Joined: Mar 21, 2012
  Messages: 480
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watakutukana lakini una hoja ya msingi hapo
   
Loading...